Hii mboga inaliwa? Msaada wenu!

Mtatuongezea idadi ya watu wanaohitaji kusafishwa damu. Kitu haujawahi kula unamchuuza mwenzako.
hiyo mboga inaitwa mchicha mshenzi ukichanganya na nyingine inaitwa mgagani, ambayo yenyewe ni chungu, mboga hiyo inakua tamu zaidi na ni tiba pia πŸ’

kama hujaishi kijijini na wanainchi huwez elewa hiyo kitu, utakua na fikra kama hizo tu ambazo ni upotoshaji πŸ’
 
Kula majani hayo ni mboga safi sana na salama. Kuuogopa ni sawa na kuogopa mtama mwekundu kwa rangi yake hali mababu zetu huko Kishapu, Bariai, Maswa, Igunga n.k wamekula na walikuwa imara zaidi ya wala mahindi ya panna, zam seed n.k

Waabeja sana Mwandende, kwa kiangazi unakubali?
 

Thanks mkuu, nitaanza kuula
 
huo mchicha una afya sana, mwanaume hapo kula na dona maziwa mgando msuli unasimama mpaka kende zinatoa jasho
 
Siku si nyingi tumtasikia kamanda wa polisi wa mkoa fulani akitoa taarifa ya watu kadhaa wa familia moja wamefariki kwa kula mchicha pori
 
Mtamu sana huo na unaongeza nguvu za kiume.
(wanaume wa Dar siyo kila kitu cha kujaribu plz....najua mpo na hili ombwe........)
 
Mgagani niujuao mimi unamajani madogo na hutumiwa na wasukuma, wanyamwezi, wagogo na wanyiramba na majirani zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…