Hii mechi sitoisahau

Hii mechi sitoisahau

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
Mechi ya Azam na Simba SC msimu uliopita, mechi yamarudiano.

Mashabiki wa Simba walikuwa wAkishangilia Azam FC na mashabiki wa Yanga walikuwa wakishangilia Simba, kwa mara ya kwanza niliona mashabiki wa Yanga wakiwa wamebeba bendela za Simba, pia watu waliovaa nguo nyekundu walikaribishwa sana kukaa jukwaa la yanga,

Mashabiki wa Simba walishangilia pale Azam walipotumbukiza magoli upande wa huku Yanga wakinuna, Yanga walishangilia pale simba ilipopata goli

Ilikuwa mechi ya vichekesho kwa wale walioishuudia na ilikuwa mechi ya ajabuajabu kama vile ya ndotoni vile
 
Mechi ya historia ni ile ya Simba na Yanga Nyamagana mwaka 1994, iliisha kwa ushindi kwa YANGA goli 2-1 hiyo ndiyo mechi ya mtu kutokuisahau siyo et Simba NA Azam
 
Mi sitaisahau mechi ambayo hadi,
HT: Simba 0-3 Kandambili.. Baada ya HT Mnyama mkali wa msituni alilishambulia lango la Kandambili ambapo,
FT: Simba 3-3 Kandambili.. Ilikua Mnyama mkali wa mwituni aongeze la 4 ila dk hazikutosha.
 
Mechi ya historia ni ile ya Simba na Yanga Nyamagana mwaka 1994, iliisha kwa ushindi kwa YANGA goli 2-1 hiyo ndiyo mechi ya mtu kutokuisahau siyo et Simba NA Azam

Mhhh 1994?,ebu kumbuka vizuri...
 
Mi sitaisahau mechi ambayo hadi,
HT: Simba 0-3 Kandambili.. Baada ya HT Mnyama mkali wa msituni alilishambulia lango la Kandambili ambapo,
FT: Simba 3-3 Kandambili.. Ilikua Mnyama mkali wa mwituni aongeze la 4 ila dk hazikutosha.

Siku hiyo kitu kilikuwa kinagonga kinarudi, dakika za majeruhi zingezidi mbili tu yeboyebo wangelia.
 
Attachments

  • 1423905094054.jpg
    1423905094054.jpg
    84.4 KB · Views: 217
Siku hiyo kitu kilikuwa kinagonga kinarudi, dakika za majeruhi zingezidi mbili tu yeboyebo wangelia.

hii mechi kipindi cha kwanza nilikata tamaa kabisa nikajua wazee wanataka kurudisha zile tano sikutamani kabisa kuangalia
 
hii mechi kipindi cha kwanza nilikata tamaa kabisa nikajua wazee wanataka kurudisha zile tano sikutamani kabisa kuangalia

Manji na mbwembwe zake aliondoka kabla ya filimbi ya mwisho. Huyo ndiyo mnyama
 
Simba na yanga ni ujinga uliokithiri. Sipotezi muda wangu kuongelea mambo kama haya
 
Mechi nyingi za Simba na Yanga huchezwa kwanza nje ya uwanja...

Mi sitaisahau mechi ambayo hadi,
HT: Simba 0-3 Kandambili.. Baada ya HT Mnyama mkali wa msituni alilishambulia lango la Kandambili ambapo,
FT: Simba 3-3 Kandambili.. Ilikua Mnyama mkali wa mwituni aongeze la 4 ila dk hazikutosha.
 
Ata Mimi Apoapo Ndo Nnapo Onaga Kwel Kila Bosi Ana Bosi Wake Koz Kandambili Watawafunga Wotee Lakin Inapokuja Abar Ya Mnyama 2.Wanadebwedaaaa!
ivi kwa rekodi nani kamfunga mwenzie mara nyingi?
 
hebu tuambie hua zinachezwa vipi? si ajabu utakuwa shabiki Wa yanga wewe

Kwa kutokujua maana ya nilichoandika bila shaka nawe utakuwa shabiki jina tu wa Simba...
 
Kwa kutokujua maana ya nilichoandika bila shaka nawe utakuwa shabiki jina tu wa Simba...

Mimi nadhani yuko sahihi maana Yanga ndiyo mabingwa wa mechi za nje ya uwanja, ameomba uzoefu wenu kwa kuwa Simba hawana uzoefu huo.
 
Back
Top Bottom