yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,409
Mechi ya Azam na Simba SC msimu uliopita, mechi yamarudiano.
Mashabiki wa Simba walikuwa wAkishangilia Azam FC na mashabiki wa Yanga walikuwa wakishangilia Simba, kwa mara ya kwanza niliona mashabiki wa Yanga wakiwa wamebeba bendela za Simba, pia watu waliovaa nguo nyekundu walikaribishwa sana kukaa jukwaa la yanga,
Mashabiki wa Simba walishangilia pale Azam walipotumbukiza magoli upande wa huku Yanga wakinuna, Yanga walishangilia pale simba ilipopata goli
Ilikuwa mechi ya vichekesho kwa wale walioishuudia na ilikuwa mechi ya ajabuajabu kama vile ya ndotoni vile