Mechi ya historia ni ile ya Simba na Yanga Nyamagana mwaka 1994, iliisha kwa ushindi kwa YANGA goli 2-1 hiyo ndiyo mechi ya mtu kutokuisahau siyo et Simba NA Azam
Miaka hiyooo Yanga o,Simba 6 ha ha ha nimesimuliwa na mzee...
Mi sitaisahau mechi ambayo hadi,
HT: Simba 0-3 Kandambili.. Baada ya HT Mnyama mkali wa msituni alilishambulia lango la Kandambili ambapo,
FT: Simba 3-3 Kandambili.. Ilikua Mnyama mkali wa mwituni aongeze la 4 ila dk hazikutosha.
Hata Barak Obama aliifuatilia ile mechi. Alicheka sanaMechi ya kumbukumbu ni pale yanga alipolambishwa tano bila na mnyama
Siku hiyo kitu kilikuwa kinagonga kinarudi, dakika za majeruhi zingezidi mbili tu yeboyebo wangelia.
hii mechi kipindi cha kwanza nilikata tamaa kabisa nikajua wazee wanataka kurudisha zile tano sikutamani kabisa kuangalia
Manji na mbwembwe zake aliondoka kabla ya filimbi ya mwisho. Huyo ndiyo mnyama
Mi sitaisahau mechi ambayo hadi,
HT: Simba 0-3 Kandambili.. Baada ya HT Mnyama mkali wa msituni alilishambulia lango la Kandambili ambapo,
FT: Simba 3-3 Kandambili.. Ilikua Mnyama mkali wa mwituni aongeze la 4 ila dk hazikutosha.
nnachompendea mnyama akikutana na ndala fc hakika ubora wake huonekana
ivi kwa rekodi nani kamfunga mwenzie mara nyingi?Ata Mimi Apoapo Ndo Nnapo Onaga Kwel Kila Bosi Ana Bosi Wake Koz Kandambili Watawafunga Wotee Lakin Inapokuja Abar Ya Mnyama 2.Wanadebwedaaaa!
Mechi nyingi za Simba na Yanga huchezwa kwanza nje ya uwanja...
hebu tuambie hua zinachezwa vipi? si ajabu utakuwa shabiki Wa yanga wewe
Kwa kutokujua maana ya nilichoandika bila shaka nawe utakuwa shabiki jina tu wa Simba...