Hii mechi sitoisahau

ivi kwa rekodi nani kamfunga mwenzie mara nyingi?

Inategemea mkuu, maana swali hilo ukimuuliza mtoto mwenye miaka 5 sasa atakwambia ameshuhudia Yanga ikiifunga Simba mara moja tu wakati Simba ikiikalisha Yanga kadri ipendavyo.
Kwa watu wazima kama sisi tutajibu wanapokezana kufungana.
 
Mimi nadhani yuko sahihi maana Yanga ndiyo mabingwa wa mechi za nje ya uwanja, ameomba uzoefu wenu kwa kuwa Simba hawana uzoefu huo.

Hehehe...ninyi mtakuwa washabiki wastaarabu tu

Waulize viongozi wenu huwa wanaenda Tanga au Pemba kufanya nini kabla ya mechi za Yanga...

Simba na Yanga wote ni watu wa fitna za nje ya uwanja na mechi zao huamuliwa na wazee wa busara...
 
Soka lingekuwa limetawaliwa na uchawi Yanga ingechukua kombe la dunia la vilabu..
 
hizo ni fix tu. nje ya uwanja wapi huko? au ynga ndo mmezoea kuchezea nje ya uwanja? sasa huwa mnakuja uwanjani kufny nini? simba wanacheza uwanjani kama wanshind,wanafunga wana toa draw. ni uwanjani. shauri zenu nyie mnaocheza nje ya uwanja.
 
Mechi ya historia ni ile ya Simba na Yanga Nyamagana mwaka 1994, iliisha kwa ushindi kwa YANGA goli 2-1 hiyo ndiyo mechi ya mtu kutokuisahau siyo et Simba NA Azam

WEWE MUONGO MECHI YA SIMBA NA YANGA SIO MWAKA 1994!. HAPA UNAZUNGUMZIA KINA SEMBUI, KITWANA MANARA, MOHAMEDI KAJOLE, ADAM SABU, MARTIN KIKWA NI MIAKA YA NYUMA SANA 1970's.
 
Inategemea mkuu, maana swali hilo ukimuuliza mtoto mwenye miaka 5 sasa atakwambia ameshuhudia Yanga ikiifunga Simba mara moja tu wakati Simba ikiikalisha Yanga kadri ipendavyo.
Kwa watu wazima kama sisi tutajibu wanapokezana kufungana.
kwani rekodi si huesabiwa mara tu mnaapoanza kukutana, acha maneno YANGA kamburuza SIMBA mara nyingi
 
kwani rekodi si huesabiwa mara tu mnaapoanza kukutana, acha maneno YANGA kamburuza SIMBA mara nyingi
Kwa miaka 10 hii nani amevurugwa mara nyingi kama sio Yanga, acha maneno maneno yasiyo na utafiti wewe...Mtu anapigwa mpaka mkono wewe unakalia kubisha hapa!
 
hizo ni fix tu. nje ya uwanja wapi huko? au ynga ndo mmezoea kuchezea nje ya uwanja? sasa huwa mnakuja uwanjani kufny nini? simba wanacheza uwanjani kama wanshind,wanafunga wana toa draw. ni uwanjani. shauri zenu nyie mnaocheza nje ya uwanja.
Ushindi wa Yanga ni nje ya uwanja, kazi yao kubwa ni kukodisha ma-COASTER na kujazana kama gari za mbagala lakini wakiingia uwanjani Simba wanakula kichwa...
 
Kwa miaka 10 hii nani amevurugwa mara nyingi kama sio Yanga, acha maneno maneno yasiyo na utafiti wewe...Mtu anapigwa mpaka mkono wewe unakalia kubisha hapa!
kwa miaka 80n ya YANGA na miaka 79 ya SIMBA nani kavurugwa mara nyingi
 
Hadi sasa yanga alikua juu kwa kuifunga simba zaidi ya mara 4 . tangu mwaka 61.
Ukiweka kabla ya uhuru, pia miaka ile ya sunderland.
Amezidiwa simba mara 5.
 
endeleeni kuishangilia azam mwaka huu

Mbona kawaida tu hiyo, adui yako muombee njaa. Hata Yanga waliisapoti Mtibwa fainali ya Mapinduzi wakaangukia pua, Yanga hao hao wakahamia Ndanda pia wakaangukia pua na macho pia.
Yanga walipobaini kuwa unaposhabikia timu pinzani ya Simba lazima Simba ashinde wakaacha ushabiki maandazi ndipo Simba akafungwa na Mbeya City. Juzi wameenda Morogoro kuishangilia Polisi wakijua Simba itafungwa sababu wao walitoka kamasi jepesi, matokeo yake Mnyama akatafuna Polisi kwa kishindo kikubwa.
 
Nimefurahi toto na african sport zimepanda tubalance matawi ya yanga na simba,(coast,Azam etc)
 
Impossible adui no 1 as for now is Azam then 2 Mtibwa 3 Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…