grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,816
ivi kwa rekodi nani kamfunga mwenzie mara nyingi?
Inategemea mkuu, maana swali hilo ukimuuliza mtoto mwenye miaka 5 sasa atakwambia ameshuhudia Yanga ikiifunga Simba mara moja tu wakati Simba ikiikalisha Yanga kadri ipendavyo.
Kwa watu wazima kama sisi tutajibu wanapokezana kufungana.