cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Makonda oyeeeeee
Wasidai barabara wala huduma nyingine za kijamiiSiasa ni biashara kama biashara nyingine jamaa kaweka pesa nyingi kama mtaji.
Tungekuwa na vyombo makini, huyu wanamuacha siku ya uchaguzi anapigwa chini. Anarudi kwenye default.Siasa ni biashara kama biashara nyingine jamaa kaweka pesa nyingi kama mtaji.
Kutembeza bakuli sio sifa nzuriKiranja wa Dunia kampiga ban akiwa rais ataendaje kutembeza bakuli mnataka mvae viraka, msiletewe condom, net, na ARV??
I second you Mkuu, uchunguzi wa kina unapaswa kufanywa kwa hawa watu wanapoingia kwenye nafasi zao na wanapotoka, je ukwasi alioingia nao unarandana na ukwasi anaotoka nao?
Je ni ukwasi halali?
Hapo Tume ya Maadili inahusika. Kwa bahati mbaya wamelaka usingizi wa pono katika kutimiza wajibu wao. Enzi zile tulikuwa tukijaza utitiri wa fomu ili kueleza mali zote ulizokuwa nazo na jinsi ulivyoipata. Kisha unalinganisha na ya mwaka uliopita na kuonesha ni njia ipi ilikuwezesha kupata mali hiyo. Sasa ni ruksa tu, kila mtu na ale kwa urefu wa kamba yake.I second you Mkuu, uchunguzi wa kina unapaswa kufanywa kwa hawa watu wanapoingia kwenye nafasi zao na wanapotoka, je ukwasi alioingia nao unarandana na ukwasi anaotoka nao?
Je ni ukwasi halali?