Hii Mercedes Benz SLS AMG ni hatari!

Hii Mercedes Benz SLS AMG ni hatari!

Interior view
IMG_20180311_222931_091.jpg
 
Labda mpk tochi ziondolewe, dashboard inasoma 200mph ambayo ni sawa na 320kph.
Je, utaweza kuvumilia kuendesha kwa 50 - 80kph kama wanausalama wetu wanavyotaka?
Hiyo 50-70 si sawa na umekanyaga mafuta kuiondoa tu, hapo sawa na kuendesha trekta mjini 😀
 
Hiyo 50-70 si sawa na umekanyaga mafuta kuiondoa tu, hapo sawa na kuendesha trekta mjini 😀
Hahahahah, kweli ndio full speed ya trekta hio. Tutataftana ubaya tu humo kwenye Benz
 
Hahahahah, kweli ndio full speed ya trekta hio. Tutataftana ubaya tu humo kwenye Benz
sema wenzetu wana barabara za Fast lanes na Autobahn watakuwa wanaziinjoy sana hizi gari!..
Imagine umeifungua mpaka ule mlio mdogo zzzzzzz imeleta!.
 
Back
Top Bottom