2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Hakuna bia nilikua napenda kama castle milk 6.0 vol, nakumbuka 2015 nilikua napiga mwisho 3 hapo lazma nizimie kitandani.
Siku hizi naoana zimerudi zikiwa maji kabisa,bora Guinness mls 300 unywe 3 kuliko Castle milk 2 kubwa (mls 500)
Wazee ni nini kimepunguzwa humu
Siku hizi naoana zimerudi zikiwa maji kabisa,bora Guinness mls 300 unywe 3 kuliko Castle milk 2 kubwa (mls 500)
Wazee ni nini kimepunguzwa humu