Umkonto umsizwe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2023
- 454
- 949
Wana umaarufu gani
Mbona wote wanaonekana Wana njaa sanaNamba 4 kutoka kushoto anaonekana kuwa na huzuni kubwa kuliko wote. Wawili wanaomfuatia wanaonekana kuwa na huzuni ilichanganyika na mshangao na uvumilivu. Huyu wa kwanza kulia yeye anaonekana kufurahia pozi la kamera.