Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Washa tvWeka picha,
Huku shambani napo nimekuja na TV?Washa tv
Utaangalia taarifa za habari, zima data endelea na kaziHuku shambani napo nimekuja na TV?
Hao Makaburu ndo Wasouth Africa wenyewe mkuu.Kwenye shughuli ya kumuapisha ramaphosa hapa naona zaidi ya midege hamsini ya kijeshi IPO angani
Afu hii Africa kusini nimegundua mzungu/kaburu ananguvu sana
Kola kitu wanasimamia wao
Utaangalia taarifa za habari, zima data endelea na kazi
Comment bora kabisa kwa siku ya leoUtaangalia taarifa za habari, zima data endelea na kazi
Weka picha,
Tunanunua ndege kwa CashHawa vijana wanachezea ndege km bodaboda
Africa ya kusini leo wana furaha kubwa mbili
a) Kuapishwa Rais wao
b)Nyerere Jr kuzuru Taifa lao
Naona zingine zimekuja kugeuzia huku mbagala mkuuHawa vijana wanachezea ndege km bodaboda
Nyerere ni hayati mkuu labda sijui unasemaje
Naona zingine zimekuja kugeuzia huku mbagala mkuu
Nyerere Jr sio Nyerere Kambarage
Ni Mataifa machache sana yamepata barka hiyo
Huyo Jr ni nani?