Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Kwenye shughuli ya kumuapisha ramaphosa hapa naona zaidi ya midege hamsini ya kijeshi IPO angani
Afu hii Africa kusini nimegundua mzungu/kaburu ananguvu sana
Kila kitu wanasimamia wao
Simwoni mzee wa totoz jack zouma
Afu hii Africa kusini nimegundua mzungu/kaburu ananguvu sana
Kila kitu wanasimamia wao
Simwoni mzee wa totoz jack zouma