Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
- Thread starter
-
- #21
Dr John joseph Pombe Magufuli Rais wa Serikali ya Kidemokrasia ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Hata angejaribu asingewezaNdio maana Mandela aligoma kuwafukuza makaburu ata baada ya mateso waliowapa enzi za apartheid
Hao Makaburu ndo Wasouth Africa wenyewe mkuu.
Huyu ni hayati Junior, asingekuwemo JK kwenye ndege.....#Nyerere ni hayati mkuu labda sijui unasemaje
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ jamaniUtaangalia taarifa za habari, zima data endelea na kazi
Angetia roho mbaya kama Mugabe na kuwapokonya mali angeweza kwa kias flaniHata angejaribu asingeweza
Hajatokea wakufikia viwango nyerere mkuu hamba
Bado anasafari ndefu
Si yupo shamba sasaπ€£ π€£ π€£ π€£ π€£ jamani
Reserved. Let's keep [emoji102]Ndio sababu nikaandika Nyerere Jr
Si yupo shamba sasa
[emoji23]Anisamehe tuNimecheka sana sana . Kweli ngoja aendelee na kazi ataenda youtube baadae
πππ[emoji23]Anisamehe tu
50..!! Mbona chache,zlipita zaida ya 150..Kwenye shughuli ya kumuapisha ramaphosa hapa naona zaidi ya midege hamsini ya kijeshi IPO angani
Afu hii Africa kusini nimegundua mzungu/kaburu ananguvu sana
Kila kitu wanasimamia wao
Simwoni mzee wa totoz jack zouma
Hivi wanamjua kweli..mna nmeshangaa mwanzo mpaka mwsho watangazaji wala mashaniki hawajamtaja..ila jk katajwa karbu na watangazaji wote..Africa ya kusini leo wana furaha kubwa mbili
a) Kuapishwa Rais wao
b)Nyerere Jr ( JPM) kuzuru Taifa lao
Kama hayati Mandela angewafukuzaga makaburu na wasazi wangekuwa kama sisi.
Ni kweli kabisa aisee Kama kuna aliwepo siku ya mlipuko sidhani Kama atakuwa na hamu na hayo madude[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mbagala hawana hamu na kitu kinaitwa vifaa vya kijeshi