mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Miye huwa najiulizaga; Ni yupi alitakiwa ayavae hayo mavazi hapo? Ni huyo me au huyo ke? Jamani, nilivyo na wivu hivi!! Mwajua huwa natamani mkewangu yaani mai waifu akienda clinic sitaki kumwona kidume kikiingia humo ndani ya chumba?? Natamani nimtoboa macho yaliyoona paja la maiwaifu wangu!!
Halafu litoto linasanua vitu vyote hapo kwenye picha. Ptyuuuuu. Samahanini may be am too old for these photos
Una miguu kama hiyo?hahaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana daahh!Una miguu kama hiyo?
Huu ugoko ulivyouzoom nkajua wa mbuzi[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nioneshe niprove..[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana daahh!
[emoji134] [emoji134] [emoji3] [emoji3] hayaNioneshe niprove..