Hii miguu ya mtoto Tunda noma kweli!! kama ya Usain Bolt

Hii miguu ya mtoto Tunda noma kweli!! kama ya Usain Bolt

Status
Not open for further replies.
Clue moja ya kujua hio picha ni ya kutengeneza, angalia mkono wa Tunda ambao kwa mujibu wa picha kauegamiza kwenye kitu ambacho kwa picha hii ilitakiwa iwe bega la huyo jamaa. Lakini mkono wa Tunda uko nyuma ya bega la huyu jamaa. Maanake ni kuwa mkono huo umeegemea kitu kingine na huyu jamaa wa mbele kapandikiwa au Tunda kapandikizwa.

whatsapp-image-2016-12-06-at-6-20-10-pm-jpeg.443253
 
Miye huwa najiulizaga; Ni yupi alitakiwa ayavae hayo mavazi hapo? Ni huyo me au huyo ke? Jamani, nilivyo na wivu hivi!! Mwajua huwa natamani mkewangu yaani mai waifu akienda clinic sitaki kumwona kidume kikiingia humo ndani ya chumba?? Natamani nimtoboa macho yaliyoona paja la maiwaifu wangu!!
Halafu litoto linasanua vitu vyote hapo kwenye picha. Ptyuuuuu. Samahanini may be am too old for these photos
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom