Hii mikopo ya simu bora kausha damu, Serikali iiangalie aisee

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Aisee hii mikopo n balaaa inatesa wamama wengi sana ingawa hawajajua

Majuzi nilikuwa napiga kwa shemeji yenu, ana simu mbili, ya kwanza ilibaki nyumbani ya pili piga kimya haipatikani na kaaga anaenda kanisani.

Nikamuuliza aliporudi vipi mbona umezima simu, sio mimi wenye simu zaoo sijalipia hehehee

Nikaamwambia kumbe umekopa mbona ujanjuza, najua umenunua

Mmh sikuwahi jua haya ila mnaojua wenza wenu wamekopa simu, hawa muda wowote na wahanga hawapatikani msije wadhuru mkawahisi vibaya.

Kwa style hii bora kausha damu
 
nilijaribh kumuliza alichotoa na kila mwezi sh ngapi analipa nilibaki mdomo 🌔
 
Unakuwa kama mfungwa ukimiss tu wanazima automatic
 
Yaani mtu akupe bidhaa ya laki 5 mwaka mzima,kumwongezea laki 3 kama riba unaona shida??
Basi komaa tu ulipe hiyo laki 5.

Halafu shemeji yako mzushi simu ya mkopo inapatikana,isipokuwa sms hutumi.
 
Mnunulie simu
 
Amekudanganya
 
Serikali iingilie kwani ulishikiwa bastola ukope? Au mkopaji ni mtoto mdogo? Hesabu ziko wazi mpaka mwisho utalipa kiasi fulani lakini unakopa halafu unaanza kulialia riba kubwa.
 
Yaani mtu akupe bidhaa ya laki 5 mwaka mzima,kumwongezea laki 3 kama riba unaona shida??
Basi komaa tu ulipe hiyo laki 5.

Halafu shemeji yako mzushi simu ya mkopo inapatikana,isipokuwa sms hutumi.
Mweee
 
Mnunulie simu
Mkuu nikimnunualia moya Samsung Ao3 wiki karudi analia wamempitia buzz kwenye dirisha...nikamnunulia kitochi nikiendelea atakuwa kausha damu wangu. ..sasa naona aliamua kujìiongeza kavukavu na mkopo loh...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…