Hii mimba jamani, mwenye uelewa..

Huwezi kucomplicate kiasi hicho hadi unasema eti umeulizia kipimo hata Dar es salaam hakuna. Mbona unakuwa mwongo wewe kwani utrasound hawezi kupimia?

Tatizo lako ni ubishi. Nimesema nimeulizia hCG sikupata jibu kama kipo Bongo au wewe unajua mahali wanapopima hCG bongo. Hicho sio kipimo complicated.

Ultrasound ina limitations zake. Unadhani ultrasound inaweza kukwambia kama mimba imetoka au iko tumboni always?

Unapopima hCG unaangalia ile value unayopata halafu unaona kama at that value pregnancy inatakiwa iwe inaonekana kwa ultrasound. Vilevile unaangalia kama hiyo amount inadouble every 48 hours. ukiona value inabaki kiwango fulani haishuki wala kuongezeka inaonyesha kuwa mimba ipo nje ya kifuko cha uzazi kwa hiyo kama ultrasound haionyeshi iko sehemu gani, ujauzito huo unakuwa umequalify kuitwa pregnancy of unknown localization. Na hii inamaanisha kuwa daktari anatakiwa kuendelea kuchunguza ujauzito ulipo kwa sababu unaweza kuleta madhara kwa mama.

Ndio maana nilisema hCG ni muhimu.
 
Tatizo lako ni ubishi. Nimesema nimeulizia hCG sikupata jibu kama kipo Bongo. Hicho sio kipimo complicated.

Ultrasound ina limitations zake. Unadhani ultrasound inaweza kukwambia kama mimba imetoka au iko tumboni always?
Mbona unahama kwenye topic kwani baada ya kupima akajikuta mjamzito amekuambia kuwa damu zimemtoka?
 
Mbona unahama kwenye topic kwani baada ya kupima akajikuta mjamzito amekuambia kuwa damu zimemtoka?

Hicho kipimo kimesema uja uzito uko wapi?

Mwanamke yeyote anapokuwa mjamzito ni LAZIMA daktari wake atake kujua na kumfahamisha kwamba ujauzito uko salama. Kipimo cha kusema tu kuwa mtu ni mjamzito hakitoshi, especially kama kuna matatizo kama yaliyompata mke wa mdau.

Usipende kubisha kila kitu.
 
Sometimes the informal is the best way!! Nyie mnabishana alaf watu wanapata knowlegde... By the way good work guys.
 
Kumbe wewe ni dokita by profesheni!?

Nilijifunza kidogo mambo ya utabibu hivyo kuna vitu navifahamu best...
Profesheni yangu haswa ni "daktari wa mitambo na mifumo"...

Btw: Si unaona hata my wife wangu measkron na mkwe nitonye wanavyofanya consultation...basi huwa hawaninyimi ujuzi
 
Last edited by a moderator:

Smahani mimi sio daktari ila naomba nikupe hii experience, nilishika mimba bila kujijua na hadi inafikisha miezi 3 sijajua na nilikuwa ninaingia period kama kawaida!!Niligundua kuwa mjamzito baada ya kuugua malaria, nikapima malaria na nilicheki pia mkojo ndo nikagundulika mjamzito. Daktari aliniambia ni tatio na kwangu halikuwa serious, nikapatiwa matibabu na nilijifungua salama. Kwa hiyo usihofu sana.
 
Mkuu hiyo April 10 hakuwa ana-bleed alikukatalia kwa kuwa alikuwa anaenda kutumika/ametumika na jibaba jingine.
 
Hakuna cha ajabu hapo. Kuna wengine wanakuwa wajawazito na kuendelea kupata siku zao hadi miezi mitano au hata zaidi. Kama hawana dalili za ujauzito za siku za mwanzo kama vile kichefuchefu na kutapika hasa nyakati za asubuhi wanaweza wasijistukie kama ni wajawazito. Si hali ya kawaida lakini inawatokea wanawake wengi tu lakini ni vizuri kumuona doctor ili aweze kumuangalia mama mtarajiwa ili kuhakikisha kila kitu kiko shwari.

Bwana Mundu tatizo sio Mimba. ishu ni mwanamke kushika mimba na bado akaingia ktk sku zake. this have been strange to me. siko hapa kulalamikia mimba. niko hapa kushere experience katika hili. Thanks.
 
kwi kwi kwi kwi, umemshushuaje mwana ccm wa watu

Back to topic, mpeleke mkeo kwa daktari bingwa wa kina mama, nadhani watakupa majibu muafaka
all da best na ujauzito wa mkeo


Mda mwingine siasa zinakupotosha, jamaa anasema ujauzito umegundulika baada ya kutoka bleed wewe unasema mengine. Jaribu kusoma vizuri hapa hatuko lumumba
 

Kwema kk? ni nini kilifuata baadae kk? je ilikuja kuwa mimba ya kawaida?
 
Mbona unahama kwenye topic kwani baada ya kupima akajikuta mjamzito amekuambia kuwa damu zimemtoka?

Wakuu naomba kuliza!! Ina mana kuna kipimo kingine cha HCG{human gonadotropin hormone} ukiacha UPT na macroscopicaly agulitination..?? Mana naona ubishani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…