ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Huwezi kucomplicate kiasi hicho hadi unasema eti umeulizia kipimo hata Dar es salaam hakuna. Mbona unakuwa mwongo wewe kwani utrasound hawezi kupimia?
Tatizo lako ni ubishi. Nimesema nimeulizia hCG sikupata jibu kama kipo Bongo au wewe unajua mahali wanapopima hCG bongo. Hicho sio kipimo complicated.
Ultrasound ina limitations zake. Unadhani ultrasound inaweza kukwambia kama mimba imetoka au iko tumboni always?
Unapopima hCG unaangalia ile value unayopata halafu unaona kama at that value pregnancy inatakiwa iwe inaonekana kwa ultrasound. Vilevile unaangalia kama hiyo amount inadouble every 48 hours. ukiona value inabaki kiwango fulani haishuki wala kuongezeka inaonyesha kuwa mimba ipo nje ya kifuko cha uzazi kwa hiyo kama ultrasound haionyeshi iko sehemu gani, ujauzito huo unakuwa umequalify kuitwa pregnancy of unknown localization. Na hii inamaanisha kuwa daktari anatakiwa kuendelea kuchunguza ujauzito ulipo kwa sababu unaweza kuleta madhara kwa mama.
Ndio maana nilisema hCG ni muhimu.