Hii mimba kweli yangu?

Mwanamke akiwa bikra halipi kodi?..Au unamaanisha nn?
Analipa mkuu, sikumaanisha halipi ila yawezekana hajajielewa huyo dada ndio maana alisema alienda mp kumbe unaweza kukuta haikua mp. Ndio maana nikauliza hata kama alienda mp, ilikua ni mp kama nyingine?
 
Watu wengine wapo hivo, anakua mjamzito na siku zake anapata kama kawa kuja kushtuka tumbo lishakua kubwa mtoto anacheza, mtwae tu huyo mwanakondoo wa bwana ukawe mchungaji wake
Aliingia mp moja pekee baada ya kusex nae na aliingia katika tarehe zake kama siku zote anavyodai tangu hiyo mp hakuwa kupata nyingine tena eti anadai yeye hakujali wala hakushtuka anamimba more than 4month na tumbo ni kubwa ila bado anadai yeye hakujua anayo!
Me nawasiwasi alikuwa anajua mimba anayo na ni ya nani sema baada ya kushindwana na mwenye mimba huko ndo akanikumbuka na alipoona uwezo wa kuitunza upo akaona aje kunitwisha zigo
Ni kweli mkuu, kuna baadhi ya wanawake huingia period kila mwezi hata baada ya kunasa, mpk mimba ikikomaa na damu inakata,

Congratulation, your going to be a dady🙂

Nyie makada wa uvccm ndio chanzo ongezeko LA watoto wa mitaani,kwan wakat unapga kavu,kwan ulikuwa haujui atapata mimba au laah!?kuwa na mimba na uku unablid n jamabo LA kawaida na inawezekana,Google.
 
Kuingia MP/kutokwa damu hakutoshi kujihakikishia Kuwa hukumtia mimba. Kumbuka wengine hutokwa damu zaidi ya mara MOJA wangali wanamimba tayari.
 
Analipa mkuu, sikumaanisha halipi ila yawezekana hajajielewa huyo dada ndio maana alisema alienda mp kumbe unaweza kukuta haikua mp. Ndio maana nikauliza hata kama alienda mp, ilikua ni mp kama nyingine?
Yap ilikuwa mp ya kawaida katika karenda zake nndg
 
Analipa mkuu, sikumaanisha halipi ila yawezekana hajajielewa huyo dada ndio maana alisema alienda mp kumbe unaweza kukuta haikua mp. Ndio maana nikauliza hata kama alienda mp, ilikua ni mp kama nyingine?
Ok..Nimekupata uzuri..Ila kwa mujibu wa baadhi ya wadau mwanamke anaweza kuwa mjamzito na akapata period pia
 
Watu wengine wapo hivo, anakua mjamzito na siku zake anapata kama kawa kuja kushtuka tumbo lishakua kubwa mtoto anacheza, mtwae tu huyo mwanakondoo wa bwana ukawe mchungaji wake
Ni kweli kabisa
 
Mimba ya mchungaji,inaonekana baada ya wewe kula mzigo alienda kwa nabii kutubu na nabii akaitumia fursa kufanya yake na baada ya kugundua binti ana mimba akamfukuza kuondoa aibu.Kusoma hujui hata picha huoni?Mbona black and white.Hilo movie nabii ndo sterling.
 
Wewe unabisha kwa vitu usivovijua,
Wapo watu ambao ni wajawazito ila period kila mwezi anapata vizuri tu kama tarehe zake zilivo
Wapo wengine wanapata period miezi ya mwanzo tu baadae inaacha
Kwahiyo yeye kupata period sio reason kwamba mimba sio yako

Kuhusu kutambua mimba wengine wanakaa hadi miezi sita ndo anahisi ujauzito, na unacholaumu kuchelewa kujua ujauzito ni kipi? Kama wewe ulivokariri mjamzito hapati period Ndioooo hivo naye hakujua kama ana mimba baada ya kuona siku zake

Ulivokua unazungusha kiuno kama feni mbovu hukujua kuna mimba?
 
Mpendwa hiki kitengo cha mimba zisizotarajiwa tulimkabidhi Raimundo ..Ngoja aje

Hii kesi ni nzito sana kwa sababu inamhusisha nabii, itabidi wapendwa wote tujipange kwa mfungo wa siku tatu huku tukikesha kwa maombi, Evelyn Salt hebu cheki na Paulo Sergio De Souz kama ratiba inamruhusu tuanze maombi leo.

Msisahau nguo za mkesha, maana hali ya hewa ni ya mvua sana.
 
Hahahahhaha mm leo nacheka tyuu na hiki kibaridi mbuzi cha Dar,..akha!!!

Ngoja niongee na nabii wangu nitarudi kukushauri Mkuu.
mdau ukimaliza maongezi na nabii wako tafadhali leta mrejesho aise mambo yamekua magumu kwa mdau ili tupime yupi ni mkweli aise
 
Mimba yako hyo mkuu, mtwae tu huyo binti.
 
Ulipanda na kupandikiza... sasa zao limeota na kushamiri... Palilia na vuna ulichopanda...
 
Watu wengine wapo hivo, anakua mjamzito na siku zake anapata kama kawa kuja kushtuka tumbo lishakua kubwa mtoto anacheza, mtwae tu huyo mwanakondoo wa bwana ukawe mchungaji wake
hahahaha yani umemaliza kila kitu duuuu
 
Hahahahaha sio ya nabii
 
Teh teh..Ebu tupe mwongozo wa hayo maombi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…