Hii mimba kweli yangu?

Hii mimba kweli yangu?

Lkn ni hali ya kawaida mwanamke kuwa mjamzito huku ana blid?
 
Aliingia mp moja pekee baada ya kusex nae na aliingia katika tarehe zake kama siku zote anavyodai tangu hiyo mp hakuwa kupata nyingine tena eti anadai yeye hakujali wala hakushtuka anamimba more than 4month na tumbo ni kubwa ila bado anadai yeye hakujua anayo!
Me nawasiwasi alikuwa anajua mimba anayo na ni ya nani sema baada ya kushindwana na mwenye mimba huko ndo akanikumbuka na alipoona uwezo wa kuitunza upo akaona aje kunitwisha zigo

Acha kukimbia majukumu ndugu yangu,
Umesema mwenyewe kua dada alikua bikra na kweli umemtoa wewe,
Sasa hbr za alikua nayo cjui nini amekua Bikira Maria?
Yani apate mimba bila kuingiliwa,

Khs kujishtukia miezi mi4 ni sawa kbs coz sio kila mimba huja na kichefu chefu, hlf pia binti ni mgeni wa mambo,

Kama unataka kuikataa mimba wewe ikatae tu, ila visingizio vyako havina uzito wa kuwashawishi watu na akili zao timilifu.
 
Sio mimba yako,,ila kumbuka mwanaume hadindi bure!!!
 
Nikiwa kwenye biashara zangu kuna binti mmoja alikuwa ananiletea chakula kutoka mgahawa flan anaofanya kazi kila mara
katika majadiliano ya hapa na pale na wafanyakazi wangu wakawa wanasisitiza huyu binti ni bikra
Kwa sababu sijawah kumvunja mtu hiyo kitu nikaona nimrubuni ili niivunje.
Nilijaribu kumrubuni kwa miez kama miwili ananigomea.
Lakini katika maongezi yetu akaonekana mtu wa iman sana(lokole) na inaonekana mchungaji wao kawajaza upepo balaa wanamuita nabii.
Anawadanganganya anajua kila wanachokifanga wasipokuwa karibu nae
Yaani inaonekana wako karibu sana na huyo nabii mpaka wanaelezana nani kamtongoza na kila kitu cha maisha yake!
Binafsi nikahisi nabii anakula mzigo mpaka alinambia nabii kamzuia kuwa na mimi kwa sababu tunatofautiana madhehebu basi me ni haramu.
Sijui shetani gani alimpitia nikashangaa siku moja anakubali kuja kwangu.
Alipikuja kwangu(naishi nyumba nzima mwenyewe) sikuwa na wasiwasi wa kusikika hivyo nikatumia nguvu na kula mzigo na kweli nilikuta haujatumika(sa sijui alibumba bikra au ilikuwa halisi)
Baada ya hapo alinichukia sana na akawa tukikutana ananiambia mabii amemwambia me ni shetani.
Baada ya siku kadhaa alinitafuta na kuniambia anashukuru mungu ameingia kwenye siku zake hivyo its over me na yeye.
Ghafla akawa kazin haonekani tena!
Tangu januari sijamuona coz aliacha kazi ila juzi kaniibukia kwenye biashara zangu na kudai anamimba yangu.
nilishangaa mbona alisema kaingia mp? Na mbona mimba ni kubwa hivi iweje anitafute leo siku zote hizo?
Akadai hakuwa anajua anamimba na amejua siku hiyo baada ya kupimwa na nabii wake.
Akaniambia muda huo wote aliacha kazi kwa sababu nabii alimzuia kuwa inamletea vishawishi na akawa anashinda kwa nabii akifanya kazi za kanisa.
Nilimuomba muda wa kutafakari.
kesho yake nikashangaa ananiambia aje kwangu kwa sababu nabii amemwambia aende kwa aliyempa mimba kanisani hawamtaki.
Niligoma kwakweli kumruhusu aje kwangu na tangu hapo hajanitafuta mpaka leo ila ananisisitizia mimba ni yangu hata twende kupiga utra sound itaonesha iliingia tarehe zile nilizopiga ingawa pia anakubali aliingia mp baada ya kula mzigo

Sasa nisaidien ushaur mmoja tu je mimba ni yangu?

Kama ni yangu ilikuwaje akaingia mp?

Je sio kwamba ni ya huyo nabii wanataka kuniangushia jumba bovu?
Mimba itakua yako kweli boss, ni kitu cha kawaida wanawake wengine kuendelea kwenda period hata kama ni wajawazito. Ko kama hicho ndo unashikiria kama sababu mimba si yako then ujue ni yako kuanzia leo. Hongera bro!
 
Af jua kwamba mschana akiwa siku za kushika mimba ndo anapata ham sana ya kudo
Ko ile siku adi anakuja kwako alipata genye na alikuwa katika siku za kupata mimba.na kingine adi akakwambia amepata siku zake ko muachane inamaana hakudhamilia kufanya lile tendo bali genye ndo zilimuendesha ambazo waga ni zile za siku za kupata mimba na alikuwa anahofia kapata mimba ndo maana alivyozipata akakwambia
 
Mimba ya mchungaji,inaonekana baada ya wewe kula mzigo alienda kwa nabii kutubu na nabii akaitumia fursa kufanya yake na baada ya kugundua binti ana mimba akamfukuza kuondoa aibu.Kusoma hujui hata picha huoni?Mbona black and white.Hilo movie nabii ndo sterling.
Masihi wa Mungu anahukumiwa nacMungu pekee
 
Ok kwa jinsi nilivyoelewa hapo kuna mchezo.
Most likely hiyo mimba SIO yako....anajaribu kukulazimisha ili pengine apate msaada wa kulelewa mtoto.
La kufanya usimkatalie moja kwa moja bali nenda kwa wakili umueleze ili akuandikie barua uende kwa mkemia mkuu kupima DNA. Nabii tangu lini akamfukuza mtu kanisani kisa kabeba mimba??? Hapo inaonesha pia kuna kitu huyo so called "Nabii" anajaribu kukwepa/kujiepusha kwa kumfukuza.
Pole sana mkuu.
 
Wewe umetoa kichwa macho mikono na mdomo...Nabii kachangia miguu pua vidole nywele na damu.... Mumlee kwa zamu tu...hakuna namna
 
Back
Top Bottom