Hii mimba kweli yangu?

Lkn ni hali ya kawaida mwanamke kuwa mjamzito huku ana blid?
 


Acha kukimbia majukumu ndugu yangu,
Umesema mwenyewe kua dada alikua bikra na kweli umemtoa wewe,
Sasa hbr za alikua nayo cjui nini amekua Bikira Maria?
Yani apate mimba bila kuingiliwa,

Khs kujishtukia miezi mi4 ni sawa kbs coz sio kila mimba huja na kichefu chefu, hlf pia binti ni mgeni wa mambo,

Kama unataka kuikataa mimba wewe ikatae tu, ila visingizio vyako havina uzito wa kuwashawishi watu na akili zao timilifu.
 
Sio mimba yako,,ila kumbuka mwanaume hadindi bure!!!
 
Mimba itakua yako kweli boss, ni kitu cha kawaida wanawake wengine kuendelea kwenda period hata kama ni wajawazito. Ko kama hicho ndo unashikiria kama sababu mimba si yako then ujue ni yako kuanzia leo. Hongera bro!
 
Af jua kwamba mschana akiwa siku za kushika mimba ndo anapata ham sana ya kudo
Ko ile siku adi anakuja kwako alipata genye na alikuwa katika siku za kupata mimba.na kingine adi akakwambia amepata siku zake ko muachane inamaana hakudhamilia kufanya lile tendo bali genye ndo zilimuendesha ambazo waga ni zile za siku za kupata mimba na alikuwa anahofia kapata mimba ndo maana alivyozipata akakwambia
 
Masihi wa Mungu anahukumiwa nacMungu pekee
 
Ok kwa jinsi nilivyoelewa hapo kuna mchezo.
Most likely hiyo mimba SIO yako....anajaribu kukulazimisha ili pengine apate msaada wa kulelewa mtoto.
La kufanya usimkatalie moja kwa moja bali nenda kwa wakili umueleze ili akuandikie barua uende kwa mkemia mkuu kupima DNA. Nabii tangu lini akamfukuza mtu kanisani kisa kabeba mimba??? Hapo inaonesha pia kuna kitu huyo so called "Nabii" anajaribu kukwepa/kujiepusha kwa kumfukuza.
Pole sana mkuu.
 
Wewe umetoa kichwa macho mikono na mdomo...Nabii kachangia miguu pua vidole nywele na damu.... Mumlee kwa zamu tu...hakuna namna
 
Nabii kauchapa mzigo huo ila ka unahisi ni yako mlee tu huenda iliingia kimiujiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…