Hii mimba vipi?

Hii mimba vipi?

Abstain from sex kwa kipindi hiki..
Humtakii mwenzio mema!
Kwanini? Huo ushauri hata daktari anaweza mpatia. Kuna mwingine throughout the pregnancy akijaribu kusex ni damu tu utalazimisha kufanya?
 
Back
Top Bottom