Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,570
- 9,778
Umepigwa tena zakichwaHabari,
Msaada wenu wanajukwaa
Mara ya mwisho kuingia hedhi ni tarehe 30 mwezi wa tatu, nimesex nae tarehe 23 mwezi wa 4, leo tarehe 27 amepima ana mimba.
Hii mimba ni yangu?
Jee kipimo kile cha mkojo kinaweza kutoa majibu baada ya siku nne after sex?
DaaaahUmepigwa tena zakichwa
Kupiga nimepigaUlipiga hukupiga?
Tuanzie hapo kwanza 🤒
Ukweli mchungu brother ika amin iyo si yako. Maan kwa izo tarehe tu ulivosema natak kukufany chambo mjini akiliDaaaah
VizuriKupiga nimepiga
NiliombwaShow uliomba au uliombwa tuanzie apa
Vijana safi sana naona mnafuata ushauri wangu....raha ya kugegeda ni kula mbususu bila condom.Habari,
Msaada wenu wanajukwaa
Mara ya mwisho kuingia hedhi ni tarehe 30 mwezi wa tatu, nimesex nae tarehe 23 mwezi wa 4, leo tarehe 27 amepima ana mimba.
Hii mimba ni yangu?
Jee kipimo kile cha mkojo kinaweza kutoa majibu baada ya siku nne after sex?
Siufahamu.Mzunguko wake unaujua? Ni wa siku ngapi?
Asante.Kama takwimu ulizoweka ni kweli, mimba sio yako, mana umekutananae tar 23, siku ya 24 ya mzunguuko, hapo ilikua bado siku tano aingie hedh nyingine.
kuwa mpole kaka.Kipindi unazungusha kiuno hadi unapiga na bao hukujua kuna mimba kiongozi?
Ni ngumu kwa kujiridhisha kwa kuomba msaaada hapa jf... kuna vingi ambavyo havitokuwa wazi hapa ili kusaidia wadau watoe majibu sahihi zaidi.kuwa mpole kaka.