Hii mipango ya usajili mpya wa Yanga msimu ujao wa 2025-2026 inashangaza sana

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Katika pitapita zangu huko mitandaoni, nimekutana na mijadala fulani kuhusiana na mipango inayosukwa ya usajili wa Yanga kuelekea msimu wa 2025-2026.

Pamoja na kwamba niliapa kuacha kuongelea vitimu vidogo vidogo, kuna kitu nimesikia ambacho kimenifikirisha sana hadi kulazimika kuleta hii mada hapa.

Wachezaji hawa wanaongelewa kama wapo kwenye rada za Yanga ni pamoja na:
Pascal Msindo
Aishi Manula
Mohamed Hussein Zimbwe
Kevin Nashon
Henock Inonga

Nikajiuliza, hivi Simba ya hii misimu miwili mitatu nyuma imepigiwa kelele sana kwamba ni mbovu na hata kufungwa 5-1 katika derby, washindi walikuwa wanajigamba kwamba ni kwa sababu ya ubovu wa Simba, ila cha kushangaza kwa jinsi siku zinavyokwenda na kila msimu mpya wa usajili unavyokuja, matamanio ya upande ule ni kupata kikosi kile kile cha Simba walichokifunga goli 5.

Wazigua wanasema "this math ain't mathing!"
 
Pamoja na kwamba niliapa kuacha kuongelea vitimu vidogo vidogo kuna kitu nimesikia ambacho kimenifikirisha sana hadi kulazimika kuleta hii mada hapa.

Wachezaji hawa wanaongelewa kama wapo kwenye rada za Yanga ni pamoja na:
Pascal Msindo
Aishi Manula
Mohamed Hussein Zimbwe
Kevin Nashon
Henock Inonga

Nikajiuliza, hivi Simba ya hii misimu miwili mitatu nyuma imepigiwa kelele sana kwamba ni mbovu na hata kufungwa 5-1 katika derby, washindi walikuwa wanajigamba kwamba ni kwa sababu ya ubovu wa Simba, ila cha kushangaza kwa jinsi siku zinavyokwenda na kila msimu mpya wa usajili unavyokuja, matamanio ya upande ule ni kupata kikosi kile kile cha Simba walichokifunga goli 5.

Wazigua wanasema "this math ain't mathing!"
Kula pilipili ale mwingine afu uwashwe wewe duuuh...!?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Kikosi cha Yanga cha msimu ujao (kilicho katika ndoto zao):
1. Manula
2. Mwenda
3. Zimbwe
4. Inonga
5. Che Malone
6. Mkude
7. Kibu Mkandaji
8. Ngoma (mateka wa airport)
9. Baleke
10. Chama
11. Mpanzu
Usajili wa yanga ni sowa,bigirimana,feisal,golikipa wa singida,maana diara anaenda kwa nabi
 
Mkuu,
Unaelewa maana ya muunganyiko wa timu na quality ya mchezaji mmoja mmoja?

Mchezaji mzuri anaweza kuwa katika timu mbovu ila akaonekana akasajiliwa kwenye timu inayocheza kitimu na akawin.

Na ndivyo ilivyo pale sina,kila mchezaji (hasa wings,viungo washabuliaji na mastraika) anacheza kutafuta ufalme,jina lionekane akae midomoni mwa mashabiki,hawachezi kwa ajiri ya timu.
Tofauti na yanga yeye quality player wenye uchungu na timu yao.

Kiukweli ukiniambia nichukue wachezaji wenye uwezo pale simba kwa sasa nitachukua yusuph kagoma tu wengine takataka.
 
Katika pitapita zangu huko mitandaoni, nimekutana na mijadala fulani kuhusiana na mipango inayosukwa ya usajili wa Yanga kuelekea msimu wa 2025-2026.

Pamoja na kwamba niliapa kuacha kuongelea vitimu vidogo vidogo, kuna kitu nimesikia ambacho kimenifikirisha sana hadi kulazimika kuleta hii mada hapa.

Wachezaji hawa wanaongelewa kama wapo kwenye rada za Yanga ni pamoja na:
Pascal Msindo
Aishi Manula
Mohamed Hussein Zimbwe
Kevin Nashon
Henock Inonga

Nikajiuliza, hivi Simba ya hii misimu miwili mitatu nyuma imepigiwa kelele sana kwamba ni mbovu na hata kufungwa 5-1 katika derby, washindi walikuwa wanajigamba kwamba ni kwa sababu ya ubovu wa Simba, ila cha kushangaza kwa jinsi siku zinavyokwenda na kila msimu mpya wa usajili unavyokuja, matamanio ya upande ule ni kupata kikosi kile kile cha Simba walichokifunga goli 5.

Wazigua wanasema "this math ain't mathing!"
Huwezi kuzuia watu kujadili,lakini wanachojadili watu sio hicho ambacho makocha wa yanga wanajadili
 
Tukusaidie nini kijana! Ikitokea wamesajiliwa ni faida kwao kucheza kwenye timu kubwa na yenye mafanikio kama Young Africans aka Timu ya wananchi.
 
Usajili wa yanga ni sowa,bigirimana,feisal,golikipa wa singida,maana diara anaenda kwa nabi

Ndio kawaida yenu kuzusha hayo kila msimu,ligi ikianza mnaanza kumtukana GSM.

Huwezi kuzuia watu kujadili,lakini wanachojadili watu sio hicho ambacho makocha wa yanga wanajadili

Tukusaidie nini kijana! Ikitokea wamesajiliwa ni faida kwao kucheza kwenye timu kubwa na yenye mafanikio kama Young Africans aka Timu ya wananchi.

Msikimbie derby tu
Uto msijizime data, mnahitaji kujenga upya kikosi chenu. Project ya wakongwe na wazoefu ambao wameshindwa kuwavusha hata hatua ya makundi inatakiwa kufa.

Mnapozidi kurundika wakongwe eti kama shortcut ya mafanikio, kuna jambo litawakuta.

Mkiziba masikio hata makundi mnaweza msiingie mkatolewa hatua ya awali, nimekaa paaaleee ➡️➡️➡️
 
Kwamba
 
Attachments

  • FB_IMG_1745440171539.jpg
    FB_IMG_1745440171539.jpg
    26.6 KB · Views: 68
Uto msijizime data, mnahitaji kujenga upya kikosi chenu. Project ya wakongwe na wazoefu ambao wameshindwa kuwavusha hata hatua ya makundi inatakiwa kufa.

Mnapozidi kurundika wakongwe eti kama shortcut ya mafanikio, kuna jambo litawakuta.

Mkiziba masikio hata makundi mnaweza msiingie mkatolewa hatua ya awali, nimekaa paaaleee ➡️➡️➡️
Unaishauri timu ambayo imekupiga derby nne mfululizo na derby ya tano ukaingia mitini. Unaishauri timu ambayo imeshindwa kufuzu robo fainali ya CAFCL wakati wewe uwezo wako hauruhusu hata kushiriki tu.

Hivi ongea ukweli wale wqsauzi mliowafunga kwa mbinde juzi kati hivi wangekutana na yanga unafikiri wangekula goli ngapi? Najua unajua sio chini ya 5
 
Back
Top Bottom