DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Kula pilipili ale mwingine afu uwashwe wewe duuuh...!?Katika pitapita zangu huko mitandaoni, nimekutana na mijadala fulani kuhusiana na mipango inayosukwa ya usajili wa Yanga kuelekea msimu wa 2025-2026.
Pamoja na kwamba niliapa kuacha kuongelea vitimu vidogo vidogo kuna kitu nimesikia ambacho kimenifikirisha sana hadi kulazimika kuleta hii mada hapa.
Wachezaji hawa wanaongelewa kama wapo kwenye rada za Yanga ni pamoja na:
Pascal Msindo
Aishi Manula
Mohamed Hussein Zimbwe
Kevin Nashon
Henock Inonga
Nikajiuliza, hivi Simba ya hii misimu miwili mitatu nyuma imepigiwa kelele sana kwamba ni mbovu na hata kufungwa 5-1 katika derby, washindi walikuwa wanajigamba kwamba ni kwa sababu ya ubovu wa Simba, ila cha kushangaza kwa jinsi siku zinavyokwenda na kila msimu mpya wa usajili unavyokuja, matamanio ya upande ule ni kupata kikosi kile kile cha Simba walichokifunga goli 5.
Wazigua wanasema "this math ain't mathing!"
Usajili wa yanga ni sowa,bigirimana,feisal,golikipa wa singida,maana diara anaenda kwa nabiKikosi cha Yanga cha msimu ujao (kilicho katika ndoto zao):
1. Manula
2. Mwenda
3. Zimbwe
4. Inonga
5. Che Malone
6. Mkude
7. Kibu Mkandaji
8. Ngoma (mateka wa airport)
9. Baleke
10. Chama
11. Mpanzu
Huwezi kuzuia watu kujadili,lakini wanachojadili watu sio hicho ambacho makocha wa yanga wanajadiliKatika pitapita zangu huko mitandaoni, nimekutana na mijadala fulani kuhusiana na mipango inayosukwa ya usajili wa Yanga kuelekea msimu wa 2025-2026.
Pamoja na kwamba niliapa kuacha kuongelea vitimu vidogo vidogo, kuna kitu nimesikia ambacho kimenifikirisha sana hadi kulazimika kuleta hii mada hapa.
Wachezaji hawa wanaongelewa kama wapo kwenye rada za Yanga ni pamoja na:
Pascal Msindo
Aishi Manula
Mohamed Hussein Zimbwe
Kevin Nashon
Henock Inonga
Nikajiuliza, hivi Simba ya hii misimu miwili mitatu nyuma imepigiwa kelele sana kwamba ni mbovu na hata kufungwa 5-1 katika derby, washindi walikuwa wanajigamba kwamba ni kwa sababu ya ubovu wa Simba, ila cha kushangaza kwa jinsi siku zinavyokwenda na kila msimu mpya wa usajili unavyokuja, matamanio ya upande ule ni kupata kikosi kile kile cha Simba walichokifunga goli 5.
Wazigua wanasema "this math ain't mathing!"
Tukusaidie nini kijana! Ikitokea wamesajiliwa ni faida kwao kucheza kwenye timu kubwa na yenye mafanikio kama Young Africans aka Timu ya wananchi.Katika pitapita zangu huko mitandaoni, nimekutana na mijadala fulani kuhusiana na mipango inayosukwa ya usajili wa Yanga kuelekea msimu wa 2025-2026.
Pamoja na kwamba niliapa kuacha kuongelea vitimu vidogo vidogo, kuna kitu nimesikia ambacho kimenifikirisha sana hadi kulazimika kuleta hii mada hapa.
Wachezaji hawa wanaongelewa kama wapo kwenye rada za Yanga ni pamoja na:
Pascal Msindo
Aishi Manula
Mohamed Hussein Zimbwe
Kevin Nashon
Henock Inonga
Nikajiuliza, hivi Simba ya hii misimu miwili mitatu nyuma imepigiwa kelele sana kwamba ni mbovu na hata kufungwa 5-1 katika derby, washindi walikuwa wanajigamba kwamba ni kwa sababu ya ubovu wa Simba, ila cha kushangaza kwa jinsi siku zinavyokwenda na kila msimu mpya wa usajili unavyokuja, matamanio ya upande ule ni kupata kikosi kile kile cha Simba walichokifunga goli 5.
Wazigua wanasema "this math ain't mathing!"
Ni bonge la mchezaji.Yao Kwasi anaachwa! Wale vijana wamempiga misumali majeraha hayaponi.
Usajili wa yanga ni sowa,bigirimana,feisal,golikipa wa singida,maana diara anaenda kwa nabi
Ndio kawaida yenu kuzusha hayo kila msimu,ligi ikianza mnaanza kumtukana GSM.
Huwezi kuzuia watu kujadili,lakini wanachojadili watu sio hicho ambacho makocha wa yanga wanajadili
Tukusaidie nini kijana! Ikitokea wamesajiliwa ni faida kwao kucheza kwenye timu kubwa na yenye mafanikio kama Young Africans aka Timu ya wananchi.
Uto msijizime data, mnahitaji kujenga upya kikosi chenu. Project ya wakongwe na wazoefu ambao wameshindwa kuwavusha hata hatua ya makundi inatakiwa kufa.Msikimbie derby tu
KwambaUto msijizime data, mnahitaji kujenga upya kikosi chenu. Project ya wakongwe na wazoefu ambao wameshindwa kuwavusha hata hatua ya makundi inatakiwa kufa.
Mnapozidi kurundika wakongwe eti kama shortcut ya mafanikio, kuna jambo litawakuta.
Mkiziba masikio hata makundi mnaweza msiingie mkatolewa hatua ya awali, nimekaa paaaleee ➡️➡️➡️
Unaishauri timu ambayo imekupiga derby nne mfululizo na derby ya tano ukaingia mitini. Unaishauri timu ambayo imeshindwa kufuzu robo fainali ya CAFCL wakati wewe uwezo wako hauruhusu hata kushiriki tu.Uto msijizime data, mnahitaji kujenga upya kikosi chenu. Project ya wakongwe na wazoefu ambao wameshindwa kuwavusha hata hatua ya makundi inatakiwa kufa.
Mnapozidi kurundika wakongwe eti kama shortcut ya mafanikio, kuna jambo litawakuta.
Mkiziba masikio hata makundi mnaweza msiingie mkatolewa hatua ya awali, nimekaa paaaleee ➡️➡️➡️