Hii misemo ya kijamaa imepotelea wapi ndugu zangu?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Maisha ya zamani ilikuwa raha tupu:-​
  • ''Ingia bandani kamata kuku wawili tuchinje''​
  • ''Ingia shambani vunja mahindi tuje tuchome''​
  • ''Chemsha kahawa hapo jikoni ulete tunywe huku ukinihabarisha habari za huko nyumbani''​
  • ''Hadithi hii inatufundisha nini wajukuu zangu?''​
Nyakati hizi huwezi kupata hizi kauli.
 
Labda mjini vijijini bado ipo kwa sana tu, mjini sahivi sio kama kipindi cha nyuma kwanza watu wanajenga wanaweka bonge la fence ujamaa umebaki vijiwe vya kahawa na mabanda ya mpira
 
Na hii inatokana na kutokulima au kufanya kazi za mikono za uzalishaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…