Hii misemo ya Kimarekani ina maana gani?

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,123
Reaction score
2,449
Habarini wadau..Najua tuko kwenye majonzi makubwa kama taifa,,But katika kuskiliza nyimbo,kuangalia movies za Marekani hasa zenye Black Americans Characters kama Ice cube,Kevin Hart,Wesley Snipes,Mike Epps,Tiffany Had dish,Queen Latifah,Octavia Spencer,Will Smith nk.

Kuna baadhi ya misemo (Phrases)waga wanaiongea sijuagi inamaanishaga nini?!

Mfano wa Phrase izo no "Check the sound,Scratch my back I will scratch yours,As a matter of fact,Don't Fcuk with me,Kick your ass,goddamn"

Kwa anaejua maana zake please anijuze🙏🙏..Wasalaam.

@NgarenaroBoy
 
Habarini wadau..Najua tuko kwenye majonzi makubwa kama taifa,,But katika kuskiliza nyimbo,kuangalia movies za Marekani hasa zenye Black Americans Characters kama Ice cube,Kevin Hart,Wesley Snipes,Mike Epps,Tiffany Had dish,Queen Latifah,Octavia Spencer,Will Smith nk.

Kuna baadhi ya misemo (Phrases)waga wanaiongea sijuagi inamaanishaga nini?!

Mfano wa Phrase izo in "Check the sound,Scratch my back I will scratch yours,As a matter of fact,Don't Fcuk with me"

🤒🤒
 
Kwa anaejua maana zake please anijuze[emoji120][emoji120]..Wasalaam.

@NgarenaroBoy
Shiiiittt
 
Ukinizingua nakuzingua....
 
Ingawa mimi sio mtaalamu sana wa kiingereza hapo sio check the sound bali ni check this out akiwa anamanisha listen.
 
Back
Top Bottom