guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Hiyo ya Kenya mikubwa huwa ni shs ngapi?20 Bob hiyo ni midogo ya Kenya uwa mikubwa kidogo wanauza na muturaa
Upo kenya mkuu ili nikuleteee?Vimishikaki kama hivyo na lile rosti la kupika la pili pili nakula hata viwe mia.
mutura ni utumbo mpana wanajaza nyama za kusaga wanasaga utumbo mwembamba mix na nyama mbayambayaHiyo ya Kenya mikubwa huwa ni shs ngapi?
Na mutura ndiyo chakula gani?
Upo kenya?mutura ni utumbo mpana wanajaza nyama za kusaga wanasaga utumbo mwembamba mix na nyama mbayambaya
Shilingi ya Kenya ipo juuWewe ni next level katika kutafuta soko. Keep up the spirit
Hamna Mkuu niko huku Bondeni sema Ahsante✌Upo kenya mkuu ili nikuleteee?
Ahahaha,siyo mkuuNimeitambua ni nyama ya mbwa mwitu
Shukrani mkuuNapenda bidii yako bro achana na mizembe izi Miccm.Keep up the spirit
Wanauuzaje?Mtura unapatikana sana arusha
Ahahaha,pole mkuuNilikuwa nakula mishkaki Coco Beach,mdakidogo wakaja washkaji watatu wakamkunja muuza mishkaki kapeleka wapi mbwa wao,,"nikasema maweee"
Ulimfanyaje muuza mishikaki,?Nilikuwa nakula mishkaki Coco Beach,mdakidogo wakaja washkaji watatu wakamkunja muuza mishkaki kapeleka wapi mbwa wao,,"nikasema maweee"
Mkuu sio kweli.unajua minapendaga sana masihara.Ulimfanyaje muuza mishikaki,?
Aahaha,ulimpataje pataje?Mkuu sio kweli.unajua minapendaga sana masihara.
Niliwai kumtafuna mtoto wa balozi kimasihara