Hii mishikaki huuzwa shilingi ngapi huko Kenya?

Hii mishikaki huuzwa shilingi ngapi huko Kenya?

guwe_la_manga

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
2,820
Reaction score
2,758
Ningependa kuja hapo Namanga upande wa Kenya ili niiuze hii mishikaki. Lengo ni kupata pesa za Kikenya ili kukuza kipato changu.

As we speak 1 Kenyan bob=21.6 Tshs.

Natanguliza shukrani.

2411870_Screenshot_20200529-150016.jpg

2.jpg
 
Wewe ni next level katika kutafuta soko. Keep up the spirit
Shilingi ya Kenya ipo juu
Natafuta uwezekano wa kutengeneza 10k ya Kenya kwa siku ambayo kibongobongo ni kama 216000 ya kibongo
 
Nilikuwa nakula mishkaki Coco Beach,mdakidogo wakaja washkaji watatu wakamkunja muuza mishkaki kapeleka wapi mbwa wao,,"nikasema maweee"
 
Back
Top Bottom