Hii mishikaki huuzwa shilingi ngapi huko Kenya?

Kama dhumuni lako ni kupata pesa ya Kenya yenye thamani kubwa zaidi ni simple tu, chukua pesa zako za kitanzania nenda bureau de change wakupe currency ya Kenya. Done
 
Shilingi ya Kenya ipo juu
Natafuta uwezekano wa kutengeneza 10k ya Kenya kwa siku ambayo kibongobongo ni kama 216000 ya kibongo
duh! 10k kwa sku mkuu ata waliyo ajiriwa serikalin ni wachache wanao ipata kwa siku 1k tu jau kuipata labda uwe na biashara kubwa tena yenye mtaj mkubwa ila so kwa mishikaki unayo zungumzia ww
 
duh! 10k kwa sku mkuu ata waliyo ajiriwa serikalin ni wachache wanao ipata kwa siku 1k tu jau kuipata labda uwe na biashara kubwa tena yenye mtaj mkubwa ila so kwa mishikaki unayo zungumzia ww
Nashukuru mkuu
Nitaufanyia kazi ushauri wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…