Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuKama dhumuni lako ni kupata pesa ya Kenya yenye thamani kubwa zaidi ni simple tu, chukua pesa zako za kitanzania nenda bureau de change wakupe currency ya Kenya. Done
duh! 10k kwa sku mkuu ata waliyo ajiriwa serikalin ni wachache wanao ipata kwa siku 1k tu jau kuipata labda uwe na biashara kubwa tena yenye mtaj mkubwa ila so kwa mishikaki unayo zungumzia wwShilingi ya Kenya ipo juu
Natafuta uwezekano wa kutengeneza 10k ya Kenya kwa siku ambayo kibongobongo ni kama 216000 ya kibongo
Nashukuru mkuuduh! 10k kwa sku mkuu ata waliyo ajiriwa serikalin ni wachache wanao ipata kwa siku 1k tu jau kuipata labda uwe na biashara kubwa tena yenye mtaj mkubwa ila so kwa mishikaki unayo zungumzia ww
Peduu huyoNimeitambua ni nyama ya mbwa mwitu