Hii mistari kwenye wowowo

nilikua siiipendi mimi ipo katika hips na kalio mikononi hamna
ila Ex wangu aliniambia nisiitoe ni kama kachumbari flan

sijui kweli kwamba mtu akiichek mashetan yanapanda

mmmh
Kuna wengine inakua kama pundamilia,nawe uko ivo?.
siku moja karibu nikimbie mechi
 
habari zenu wanajamvi haswa wa jukwaa hili husika nilikuwa naomba nijulishwe juu ya hii mistari au michuruzi matakoni kwamba inasababishwa na nini na je inamadhara yoyote????
uwanja wenu jamani

Weka evidence that which tenDs to prove or Disprove something
 
pole sana, kwangu hakuna hiyo.. usipende kuwa bonge bonge sana au legelege sawaaa, ebu tazama avata yangu uone kitu lainiiiii bila michirizi au vipi ?
 
habari zenu wanajamvi haswa wa jukwaa hili husika nilikuwa naomba nijulishwe juu ya hii mistari au michuruzi matakoni kwamba inasababishwa na nini na je inamadhara yoyote????
uwanja wenu jamani

Nina dawa ya kusugulia hiyo mistari na kwisha kabisa.njoo nikusugue dada.dawa haina madhara.karibuuu
 
habari zenu wanajamvi haswa wa jukwaa hili husika nilikuwa naomba nijulishwe juu ya hii mistari au michuruzi matakoni kwamba inasababishwa na nini na je inamadhara yoyote????
uwanja wenu jamani

wewe jinsia gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…