suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 196
Wengine ni matumizi ya cream kali kwa kujichubua anakua kama kaungua.
yeah ni kweli ila inakera kwa jitu nene kuvaa nguo kata mikono huku miraba i waziiiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine ni matumizi ya cream kali kwa kujichubua anakua kama kaungua.
nishaioeleka nenda ukaone
Kuna wengine inakua kama pundamilia,nawe uko ivo?.nilikua siiipendi mimi ipo katika hips na kalio mikononi hamna
ila Ex wangu aliniambia nisiitoe ni kama kachumbari flan
sijui kweli kwamba mtu akiichek mashetan yanapanda
mmmh
...acheni uchoyo,tuwekeeni wote tuone bhana,uzi mmeuleta huku picha mmnapeleka wapi...?nishaioeleka nenda ukaone
Umetumia heading gani? Kalio la masai dada au michili ya masai dada?
habari zenu wanajamvi haswa wa jukwaa hili husika nilikuwa naomba nijulishwe juu ya hii mistari au michuruzi matakoni kwamba inasababishwa na nini na je inamadhara yoyote????
uwanja wenu jamani
...acheni uchoyo,tuwekeeni wote tuone bhana,uzi mmeuleta huku picha mmnapeleka wapi...?
hahah jamani acha kunyanyapaaKuna wengine inakua kama pundamilia,nawe uko ivo?.
siku moja karibu nikimbie mechi
Mkuu jitahidi utafute dawa zake bana,mbona zipo.hahah jamani acha kunyanyapaa
habari zenu wanajamvi haswa wa jukwaa hili husika nilikuwa naomba nijulishwe juu ya hii mistari au michuruzi matakoni kwamba inasababishwa na nini na je inamadhara yoyote????
uwanja wenu jamani
pole sana, kwangu hakuna hiyo.. usipende kuwa bonge bonge sana au legelege sawaaa, ebu tazama avata yangu uone kitu lainiiiii bila michirizi au vipi ?
Nina dawa ya kusugulia hiyo mistari na kwisha kabisa.njoo nikusugue dada.dawa haina madhara.karibuuu
habari zenu wanajamvi haswa wa jukwaa hili husika nilikuwa naomba nijulishwe juu ya hii mistari au michuruzi matakoni kwamba inasababishwa na nini na je inamadhara yoyote????
uwanja wenu jamani