Hii mitandao kama 'Tinder' na 'Badoo' inaweza kutumika bila malipo? Maana siwezi hata kutuma meseji

Hii mitandao kama 'Tinder' na 'Badoo' inaweza kutumika bila malipo? Maana siwezi hata kutuma meseji

uongo...weka picha
Aiseee.
EqY1VssXMAEgN9G.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
halima wangu ananiombaga 2000 ya chips tu azipitie pale kwa mkojani akiwa anakuja geto[emoji1][emoji1]
Hawezi kuwa yeye. Ila huyu anashinda sana mtandaoni sasa ngoja nimwambie chalii yangu anasoma Computer Science alimdukua demu wake akaja pata madudu yake hajamwambia hata. Hacking aliyotumia ndio hiyohiyo naenda fanyia mtego.

Na huyu Halima mzembe kwenye tech hajui kitu, anachojua kuweka ile app ya Vault na Calculator. Mi simu yangu inaficha yenyewe kwa default gallery kuna gesture ya kuficha.
 
Ni kweli kabisa mkuu, ni vile huwezi kuweka picha ya mtu yani kuna mademu wakali wanajiuza. Yani asilimia 99 ya mademu niliwahi kuchat nao kule wanajiuza. Yani hadi najiuliza unakuta huyu demu wa mtu a hajui kuwa demu wake anajiuza.
Wee kule unatakiwa utumie hela ule mema ya nchi braza
 
Mimi kama mwanaume rijali siwezi kuweka picha ya mwanamke kihivyo .

Wewe kama ushawahi kutumia tinder utaelewa ninachokimaanisha
Mkuu

Nakumbuka nilikutana na dem wa chuo cha ushirika huko tinder.. alikuwa mgeni wa hiyo tinder..tulipanga tuka meet na nikaja kula tunda..yan dince day one hakuwahi kuzungumzia hela yaani hakutakaga hata 100

Since then we are ..... na ni dem mxuri balaa

Rafiki yake nfo alimshawish kujiunga tinder kutafuta chatting friends
 
Mkuu

Nskumbuks nilikutana na dem wa chuo chs udhirika huko tinder..alikuwa mgen wa hyo tinder..tulipanga tuka meet na niksja kula tunda..yan dince day one hskuwahi kuzungumzia hela yaani hakutakaga hata 100

Since then we are ..... na ni dem mxuri balaa

Rafiki yake nfo alimshawish kujiunga tinder kutsfta chatting friends
Scenario yako ipo kama yangu.
Huyo wa kwangu nadhani ameshahifuta kule kwa sababu alikuwa mgeni kule tinder pia akitafuta marafiki. Na demu ana mpunga mrefu ni balaa
 
Wee kule unatakiwa utumie hela ule mema ya nchi braza
Siwezi kutumia pesa kulipia huduma ya hivyo hata siku moja, ila kwa muda wote nilikuwa tinder karibu wanawake wote kule wanajiuza na wengine hadi unajiuliza huyu anajiuza kakosa nini. Ambao kabisa hutakiwi hata kujiuliza ni wale kwenye profile zao wameandika wanasoma Aghakan university hao wote hutakiwi hata kuuliza.
 
Back
Top Bottom