MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Leo nimejaribu kuweka kifurushi cha mtandao wa Vodacom cha shilingi elfu tano, kama GB 2 hivi. Baada ya matumizi ya dakika 45 ya kuperuzi mtandaoni tu, nimetumiwa ujumbe kwamba nimeshatumia asilimia 75% na nimebakiwa na MB 600 tu.
Kiukweli haya ni mauzauza ambayo yamenifanya nibaki nacheka na kushangaa tu. Tatizo ni nini kwenye hii mitandao jamani?
Awamu hii tutaona kila aina ya rangi.
Kiukweli haya ni mauzauza ambayo yamenifanya nibaki nacheka na kushangaa tu. Tatizo ni nini kwenye hii mitandao jamani?
Awamu hii tutaona kila aina ya rangi.