MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Hatari sana aisee...Pole sana.
Hao Vodacom kwenye suala la vifurushi vya internet tulishidwana siku nyingi sana. Wizi mtupu. Nawatumia kwenye M pesa tu.
Mimi Voda kwangu ndio kimbilio maana Halotel na Airtel hao ninawaona hatari sana.noma sana
ugonjwa huo uko mitandao yote
Halotel namba moja mkuu mimi Voda Mb800 nafikisha hata siku tatu au Nne na kitu nusu bila YouTube na Insta mwendo wa wasap ,gugo na Jf hata nikiweka Gb2 YouTube naenjoy sana tofauti na Gb2 kwengine.Unaweza dhania ni utani ila mie niligombana na Halotel kwa sababu hizo hizo nikakimbilia Voda
Nilikuwa halotel intermet tupu toka 2013 ila kwa sasa nanyosha mikono angani namna hii [emoji119] kifurushi cha 5000/= wananihudumia 2.8Gb, naweka saa mbili asubuhi saa sita natumiwa ile meseji yao pendwa ya umetumia 75% hapo nipo tu jf, whatsapp na kujib email mbili tatu za hapa na pale,Unaweza dhania ni utani ila mie niligombana na Halotel kwa sababu hizo hizo nikakimbilia Voda
Kuna siku huwa naweka GB 1, nafanya haya matumizi niliyofanya leo hata masaa 12.Ngojeni niwape Siri hii. Wabongo wengi hatujui Matumizi ya Simu na Jinsi gani tunaweza Track Internet traffic Zenu za Simu. Mimi. Ninatumia Voda Miaka na Miaka Kwemye Simu yangu huwa nakagua kwa Kwenda Sehemu ya Internet na Kuangalia Data Usage naKuona App gani imekula Bundle langu sana..
Kuliko kuwalalamikia Voda ni vyema Tukakagua kwanza Data Usage na Kujua App. Gani zimekula bundle na Ukipenda Download App zipo nyingi tu za Data Track itakuambia App gani imekula Bundle lako