Hii mitindo balaaa

Hii mitindo balaaa

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,690
Hii mitindo inayokuja ya kinadada mitindo.jpg itatusababishia ajili nyingi sana au tutengenezewe miwani zenye side mirrorsmtindo1.jpg
 
taratibu taratibu tunarudi kwenye nguo zetu za asili kama zile za mabush men, unaziba ikulu tu, kwingone kote mambo hadharani
 
Mh!sina neno kabisa,sikilizia tu kwa madada zetu
 
Back
Top Bottom