Hii movie: The Channel, 2023

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Kuna hii movie ya 2023, inaitwa The Channel. Ni simple tu, kwamba mshikaji (ex marine) anaenda na wenzie kama wanne hivi (nao ni ex marine) akiwemo kaka yake mmoja kupora bank.

Mission ilikua simple, in and out ndani ya dakika chache. Ila kuna mtu aliwauza, wanatoka wanakuta polisi wanawasubiria. Zinapigwa risasi hapo wanabaki wawili (mtu na bro wake) na mmoja akiwa majeruhi vibaya.

Baada ya hapo inaanza msako msako, FBI, polisi, na magenster wengine wanataka wawapate washkaji wapate izo hela. Yaani vurugu.

Ni budget movie sio level za CGI za Marvel ila wamejitahidi.

Mi nitaipa 6/10 kwa category yake.

 
mkuu
 
Nimeifuta leo asubuh kupata space, ni nzur chuma sana
 
movie za aina hii zinakuwaga na mwisho wa kusikitisha ila unyama ni mwingi ..kama ambulance, den of thieves.
ngoja niitafute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…