love b
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 2,155
- 3,162
HongeraMungu ni mwema mkuu, nimebahatika Kusoma, nimesafiri nchi kadhaa duniani, nimesafiri karibu Tanzania yote, Somehow Nina kazi ambayo pengine vijana wenzangu wengi wangetamani kuifikia, Ni kweli pengine huenda kipato sio kikubwa , Sio mbaya nafanya na Kikimo pia kinanisaidia kuongeza kipato walau niweze kumudu kugawana kidogo ninachopata na wanaonitegemea, Not bad anyway...
I am less than 30years old,