hii ni taarifa rasmi ya jeshi la kujenga taifa . kutokana na ufinyu wa muda na uchache wa kambi hakutakuwa na wanafunzi wengine watakao kwenda jkt kwa mwaka huu , hvyo utaratibu wa vyuo utaendelea kama kawaida mpaka mtakapojurishwa vingine baadae wajulishe na wenzio waweza tembelea pia www.jkt.go.tz .