Hii msg kuhusu jkt inaukweli gani?

Hii msg kuhusu jkt inaukweli gani?

Christafari

Senior Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
117
Reaction score
13
hii ni taarifa rasmi ya jeshi la kujenga taifa . kutokana na ufinyu wa muda na uchache wa kambi hakutakuwa na wanafunzi wengine watakao kwenda jkt kwa mwaka huu , hvyo utaratibu wa vyuo utaendelea kama kawaida mpaka mtakapojurishwa vingine baadae wajulishe na wenzio waweza tembelea pia www.jkt.go.tz .
 
Usipende kukurupuka dogo! Tangazo la JKT hili hapa:

Tangazo la JKT

MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA MEJA JENERALI RAPHAEL MUHUGA ANAPENDA KUWAALIFU WAHITIMU WOTE WA KIDATO CHA SITA KUWA MAFUNZO YA JKT YATAENDELEA KUENDESHWA KWA AWAMU TOFAUTI TOFAUTI KAMA ILIVYOPANGWA.


AIDHA ANAWATAKA KUPUUZA TAARIFA YOYOTE INAYOHUSIANA NA JKT NA BADALA YAKE WATEMBELEE TOVUTI YETU YA Jeshi la Kujenga Taifa AU MAKAO MAKUU YA JKT YALIYOPO MLALAKUWA, DAR ES SALAAM KWA TAARIFA ZAIDI

Source: Tangazo la jkt1
 
Back
Top Bottom