Hii naiita weka tuweke

MtotoKautaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2018
Posts
373
Reaction score
895
Wadau mko poa!!
I am doing well.

Mtaa nilohamia mwaka huu mwishoni kuna ki sistaa flan, hiki ki sistaa kwao ni wafanya biashara wanamaduka ya vyakula na maduka ya dawa za binadamu. Kimemaliza diploma ya animal science SUA pale mwaka jana.

Kwao ni watu wa dini sana hata kuonana nako ni mpka wazaz wasafiri kufata mzigo maana huwa wanasafiri wote baba na mama sasa sijui ni wivu hawaaminiani.

Hiki ki sistaa huwa mara nyingi kinakaa dukani kuuza ni mim ni mteja wao mkubwa sana.
Napokuwa natoka katika harakati jioni huwa napita hapo nachukua mahitaji nahepa mageto.

Sasa kadri siku zilivokuwa zinakwenda tukaanza kuzoeana tunakula stories kimtindo mpka mwisho wa siku tukabadilishana contacts.
Siku na miezi ikakatika mwishoni tukajikuta tupo katika mahusiano yaani wapenzi.
Msistee ni kama alinielewa maana mim maisha yangu ni simple sana na sitak shobo na mtu yani kihuni huni tu na sina habari na mtu.

Sasa nilipokuja kuchoshwa na huyu manzee ni kwenye kutoa mzigo.
Dogo anadai bado bikra na atanipa nikimuoa. Kifupi anasema bila ndo hakuna kunyanduana.

Siku hiyo ananambia haya maneno nilicheka mbele yake nikamuliza kama yupo serious akasema ndio. Mimi nikamuliza shid nini mbona hutaki kunipa mzigo? Akajibu eti ananipenda sana anataka nimuoe, akaongeza kwa kusema eti anahisi akinipa kabla hatujaoana nitamtosa nimuache nioe mwingine.
Mimi nikamwambia siwez kuoa mwanamke ambaye sijamnyandua yani ni lazima tujuane kwanza ndio tuoane.

Niliposema hiyo kauli alikasirika kinoma noma akanambia kuwa nimepanga kutumia halafu nimuache.
Mimi nikamwambia nipo serious nitamuoa.
Basi tukaiahia hewani hewani hivo tukaendelea kuwasiliana lakini nilipunguza mahudhurio katika kumtafuta kwasababu niliona kama vile miyeyusho tu ananiletea habari za kilokole nisizozielewa.
Akaanza kulalamika sana et nimebadilika sina muda naye mara simpemdi mara nina wengine, mimi nikawa namuacha alalamike mpka achoke sikuwa na sina time ya kumjibu maswali ya kipuuzi.

Akaibua tabia mpya, akaanza kuwa anataka kuikagua cm yangu tukionana, aaaah akanitibua nikamwambia aache utoto maana kukaguana cm ni maswala ya kitoto kwani mimi sijawahi kuwa na time na cm yake.
Unakuta tupo sehem tunakunywa juice anaibua mzozo anapaza sauti mbele za watu mara anasusa. Sasa mimi nikawa sina time na upuuzi wake.
Kazi yake ikabaki ni lawama tu, ooooh hunipendi, unawengine, kwasababu nimekunyima ndo umebadilika, mimi sitakagi ujinga nakaa zangu kimya mpka ashanizoea.

Juzi kaniomba 100k anashida nayo nikamjibu pesa ipo lakini nitaanza kukuhudumia nikikuoa.
Kapaniki anasema wew mwanaume bahili, hunipendi, mchoyo na vitu vyako, unawengine.
Nikamuliza wew si umesema tutafanya tukioana?
Akajibu yes! Nikamuliza kwanini? Akajibu et naweza nikamtoa bikra hafu nisimuoe ndomana anataka nimuoe kwanza ndo tufanye, mara oooh ananipenda anataka ahakikishe namuoa kwasababu ya kivutio cha bikra yake.

Namimi nikamwambia pesa sitampa kwasababu inawezekana pia nikamuhudumia halafu mbeleni akaja kuolewa na mwingine na pesa yangu nitamdai nani? Akakaa kimya.

Naona leo kanitafuta ngoja nimsikilize anasemaje............
 
Kazia hapo hapo...

kuna bikra zipo mtaani bado kumbe na zinaujasiri wa kuomba 100k!

Trust me,Amount ambayo mwanamke anaweza kukuomba itakupa majibu upo na bikra au lah..cheza na digits tu
 
Chukua hiyo kauli yake kuwa atakupa penzi mkifunga ndoa in a positive Way, kwamba huyo ni mwanamke anayetaka kuanza ndoa na clean sheet.
Kama una nia ya kumuoa muoe. Lakini kama unataka kupiga na kusepa, bora uondoke kabla haujamharibia record yake. Unaweza kumharibu na usimuoe lakini baadaye pia ukaingia kwenye majuto maana naamini na wewe ndani mwako kuna roho ya utu mwema. Tafakari.
 
Bro we ni MSENGEπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ.
Eti pesa yangu nitamdai nani.
 
Hiyo sio clean sheet!!! Ni green shit!!

Skimuoa kwa ndoa kubwa kufika ndani binti hana bikra hata moja anafanyaje??

Clean sheet anapiga mizinga kama ya Wa Israel??
 
Naishi naye kwa staili hiyo akifika muda mm nahitaji kuoa kabla yeye hajaolewa naweza mwaga wino kwa certificate
 
Kajitambulishe kwao baada ya hapo usiendelee mbele na process nyingine paka umle ujue kama ni tapeli au la.
Au nipe namba zake kwani yupo mkoa gani?
 
Kajitambulishe kwao baada ya hapo usiendelee mbele na process nyingine paka umle ujue kama ni tapeli au la.
Au nipe namba zake kwani yupo mkoa gani?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Duuuh kwahyo unataka kuovertake kwenye mlima kaka
 
Mkuu wewe una moyo sana. Yani ushaona mzigo hupati lakini bado unaendelea kubembeleza? Kama lengo lilikuwa ni mahusiano upate mzigo dakikaz za mwanzo, hizi za nyongeza unachezea muda wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…