Hii nakubaliana nayo 100% kwani nilipokuwa siweki / sina hata 10,000Tsh katika Akaunti nilikuwa Silali kama Mlinzi, ila sasa naweka Nalala kama Pono

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Utafiti mpya unaeleza kuwa tabia ya kuweka akiba haitakuacha tu na pesa taslimu bali kunaweza kukusaidia kulala vizuri pia.
-
Kuhifadhi pesa kiasi kidogo tu mara kwa mara, kunaweza kuboresha afya ya akili, watafiti katika Chuo Kikuu cha Bristol nchini Uingereza wanasema.
-
Watu wa kipato cha chini wanaoweka akiba mara kwa mara wana viwango sawa vya kuridhika kimaisha na matajiri wasioweka akiba, waliongeza.
-
Hata hivyo, kuweka akiba imekuwa ngumu katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na kupanda kwa kasi kwa bei za vyakula na huduma.

Chanzo: bbcswahili

Na siyo tu nilikuwa silali kama Mlinzi wa Godauni Kiwalani, ila hata Kubandua nilikuwa najitafuta sana hadi Wazungu waje, ila Kudadadeki tokea nianze kuzikamata na hata kuwa na Jeuri ya kuweka katika Akaunti Laki Tano hadi Milioni hakuna Mbunye isiyojuta Kukutana nami hata kama zikiwa 5 kwa wakati Mmoja.

Asikudanganye Mtu Pesa ndiyo kila Kitu hivyo kama ukipata bahati ya kuzipata tafadhali jitahidi Kuzitunza sana Oky?
 
Nakubaliana na wewe kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…