Hii namba ni form four EQ2022001273.2018?

Hii namba ni form four EQ2022001273.2018?

Hizo namba hapo juu nimekuwa nikiziona kwenye admission za vyuo mbalimbali kama Index number. Naomba kuelimishwa ni namba za form four mpya au ikoje?
Nadhani hao ni Wanafunzi waliosoma nje na kufanyiwa equivalence na NECTA
 
Hizo ni namba za registration kwa waliopitia ngazi tofauti mfano certificates au diploma ndo wanakuwa na vyeti vya namna hiyo
 
Back
Top Bottom