Hii nani zaidi utopolo lazima waitishe press conference nyingi sana

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Kama kawaida yao leo wameitisha press na kutoa takwimu za kupika.Hii imekuja baada ya kuona wanazidiwa katika mchakato wa nani zaidi.

Utopolo hawishiwi maneno lakini ni wazi tu hawana mashabiki na wapenzi wengi kama ilivyo Simba.

Kama Simba wangekuja na mpango wa kuuza kadi za uanachama kwa njia rahisi madhani wasingeamini watu watakaonunua jinsi walivyo wengi.

Hii ya nani zaidi kuna watu bado hawajaifahamu maana wengi tulikuwa kazini wakati inatangazwa.Inabidi tangazo liwepo Mara kwa mara social media ili kila mtu limfikie
 
"Uwanja wa mpira wa kawaida usio na mbwembwe, wenye uwezo wa kuingiza watu elfu 30 ni lazima ugharimu kiasi cha Tsh 30+ BILIONI" 🔍 Haji Sunday Manara.

"Tusidanganyane, Miradi mikubwa kama hii inahitaji WAWEKEZAJI. Unataka kujenga uwanja, weka hela sio maneno"

"Yanga ina viongozi wana akili. Uwezo wao wa kufikiri ni mkubwa sana. Hakuna klabu Afrika mashariki na kati iliyoweza kukusanya BILIONI 1.07 kwa miezi (6) kwa wanachama pekee" 🔍 Haji Sunday Manara

"Tumeandikisha kidigitali wanachama 34 Elfu na 650, tumekusanya kiasi cha Tsh 1.07 BILIONI' 🔍 Haji Sunday Manara.

"Hatua inayofuata ni kadi za mashabiki, atakayetambulika atalipa ada ya Tsh 17,000/=,, Ambapo atapata kadi ambayo itamuwezesha kuingia uwanjani na pia punguzo la bidhaa mbalimbali za Yanga SC, pamoja na maduka ya GSM washirika wa Yanga SC" 🔍 Haji Sunday Manara

"Katika Tsh 17,000/=,, Tsh 12 elfu ni ada ya mwaka mzima na Tsh elfu 5 ni ada ya kadi ya Kielektroniki ambayo itatolewa na Kilinet"

"Ukubwa sio kurukia miradi ya watu na kufanya kama ni jambo kubwa la kushindana,, Ukubwa wa klabu ni kubeba MAKOMBE"

"Kuhusu ujenzi wa uwanja, Yanga SC mipango yetu ni kukaribisha WAWEKEZAJI na si kutumia michango ya mashabiki"

🔍 Haji Manara msemaji wa Yanga SC
 
Kama kawaida yao leo wameitisha press na kutoa takwimu za kupika.Hii imekuja baada ya kuona wanazidiwa katika mchakato wa nani zaidi.

Utopolo hawishiwi maneno lakini ni wazi tu hawana mashabiki na wapenzi wengi kama ilivyo Simba.

Kama Simba wangekuja na mpango wa kuuza kadi za uanachama kwa njia rahisi madhani wasingeamini watu watakaonunua jinsi walivyo wengi.

Hii ya nani zaidi kuna watu bado hawajaifahamu maana wengi tulikuwa kazini wakati inatangazwa.Inabidi tangazo liwepo Mara kwa mara social media ili kila mtu limfikie
Hii thread yako inatusaidia nini sisi wanasimba?

Inawezekana akili yako ni finyu sana, uwezo wa kufikiri ni mdogo sana na upeo huna!
 
"Uwanja wa mpira wa kawaida usio na mbwembwe, wenye uwezo wa kuingiza watu elfu 30 ni lazima ugharimu kiasi cha Tsh 30+ BILIONI" [emoji368] Haji Sunday Manara.

"Tusidanganyane, Miradi mikubwa kama hii inahitaji WAWEKEZAJI. Unataka kujenga uwanja, weka hela sio maneno"

"Yanga ina viongozi wana akili. Uwezo wao wa kufikiri ni mkubwa sana. Hakuna klabu Afrika mashariki na kati iliyoweza kukusanya BILIONI 1.07 kwa miezi (6) kwa wanachama pekee" [emoji368] Haji Sunday Manara

"Tumeandikisha kidigitali wanachama 34 Elfu na 650, tumekusanya kiasi cha Tsh 1.07 BILIONI' [emoji368] Haji Sunday Manara.

"Hatua inayofuata ni kadi za mashabiki, atakayetambulika atalipa ada ya Tsh 17,000/=,, Ambapo atapata kadi ambayo itamuwezesha kuingia uwanjani na pia punguzo la bidhaa mbalimbali za Yanga SC, pamoja na maduka ya GSM washirika wa Yanga SC" [emoji368] Haji Sunday Manara

"Katika Tsh 17,000/=,, Tsh 12 elfu ni ada ya mwaka mzima na Tsh elfu 5 ni ada ya kadi ya Kielektroniki ambayo itatolewa na Kilinet"

"Ukubwa sio kurukia miradi ya watu na kufanya kama ni jambo kubwa la kushindana,, Ukubwa wa klabu ni kubeba MAKOMBE"

"Kuhusu ujenzi wa uwanja, Yanga SC mipango yetu ni kukaribisha WAWEKEZAJI na si kutumia michango ya mashabiki"

[emoji368] Haji Manara msemaji wa Yanga SC
Tutachangia timu yetu kujenga uwanja hata kama ni miaka mia mbili.

Hatuwezi kushikiwa akili na huyo zungu. Wenye akili huko ni Manara Sr na Kikwete.
 
Haji muongo sio wakuamini huyu kiumbe,alisema Yanga michuano ya caf wanaanzia hatua ipi na Simba wataanzia hatua ipi?
 
Kama mliweza kushika maneno yake ya wenye akili pale yanga.....kwann mshindwe kushika maneno mengine anayowaambia

Yaani mnakula matapishi yenu wenyewe
 
Haji muongo sio wakuamini huyu kiumbe,alisema Yanga michuano ya caf wanaanzia hatua ipi na Simba wataanzia hatua ipi?
Just misinformation ila naomba nieleze Simba ataanzia hatua ipi? na kwanini?
 
Jamani eeh, hivi mpaka Sasa huko ni nani Zaidiiii.....?

Maaana nasikia Keleleee huko Wanaliaaa...! Kwani niniii..!
 
"Uwanja wa mpira wa kawaida usio na mbwembwe, wenye uwezo wa kuingiza watu elfu 30 ni lazima ugharimu kiasi cha Tsh 30+ BILIONI" [emoji368] Haji Sunday Manara.

"Tusidanganyane, Miradi mikubwa kama hii inahitaji WAWEKEZAJI. Unataka kujenga uwanja, weka hela sio maneno"

"Yanga ina viongozi wana akili. Uwezo wao wa kufikiri ni mkubwa sana. Hakuna klabu Afrika mashariki na kati iliyoweza kukusanya BILIONI 1.07 kwa miezi (6) kwa wanachama pekee" [emoji368] Haji Sunday Manara

"Tumeandikisha kidigitali wanachama 34 Elfu na 650, tumekusanya kiasi cha Tsh 1.07 BILIONI' [emoji368] Haji Sunday Manara.

"Hatua inayofuata ni kadi za mashabiki, atakayetambulika atalipa ada ya Tsh 17,000/=,, Ambapo atapata kadi ambayo itamuwezesha kuingia uwanjani na pia punguzo la bidhaa mbalimbali za Yanga SC, pamoja na maduka ya GSM washirika wa Yanga SC" [emoji368] Haji Sunday Manara

"Katika Tsh 17,000/=,, Tsh 12 elfu ni ada ya mwaka mzima na Tsh elfu 5 ni ada ya kadi ya Kielektroniki ambayo itatolewa na Kilinet"

"Ukubwa sio kurukia miradi ya watu na kufanya kama ni jambo kubwa la kushindana,, Ukubwa wa klabu ni kubeba MAKOMBE"

"Kuhusu ujenzi wa uwanja, Yanga SC mipango yetu ni kukaribisha WAWEKEZAJI na si kutumia michango ya mashabiki"

[emoji368] Haji Manara msemaji wa Yanga SC
Hili la kushindanisha kuchangia, sidhani ni matakwa ya viongozi wa Simba peke yake bali ni makubaliano ya pande zote mbili kuwa vinahitaji pesa kupitia mradi wa nani zaidi. Ilikuwa busara sana kwa Manara badala ya kuwakejeli Simba, badala yake wangetumia nguvu kubwa kuhamasisha mashabiki wa Yanga katika kuchangia pesa. Hizi pesa kila klabu imetenga dhumuni lake, sasa maneno anayotoa Manara itafanya mashabiki wasione umuhimu wa kuchangia.

Kama kulikuwa hakuna uhitaji wa pesa, basi wangewaacha Simba na Azam waendeshe project yao kwa staili nyingine sio kushiriki kwenye project ya Azam halafu na kwenye press mmeongea viongozi kuhitaji sapoti ya mashabiki kupitia hiyo project, halafu leo unakuja kuleta kauli za kijinga baada ya kupigwa gap kubwa na watani

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Kauli gani ya kijinga?
Unafurahia kuchangia timu?

Kwasababu mwisho Wa kuchangia umekaribia na pesa hiyo haiwezi hata kufika milioni 100 kwa pande zote simba na yanga.......pesa hiyo itaenda kulipa mishahara ya wachezaji na kulipia kambi avic town na wala haitatosha

Ndio maana kuna mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji Wa timu kwa kutegemea wawekezaji na wadhamini na wala sio pesa za wanachama kuchangia hilo utambue kabisa

Azam TV ilibidi waishirishe Yanga kwenye jambo hili kwasababu ya mkataba wa kurusha maudhui ya hizi timu mbili........ingeonekana kama Simba anapendelewa zaidi katika mkataba huo ila Yanga alikubali ila sio kwa lengo la kutolea macho hizi pesa na ndio maana hakuna hamasa kutoka kwa viongozi kuhusu issue ya kuchangia
 
Eti tunajenga uwanja kwa michango ya wanachama.......Hili linawezekanaje?

Ifike hatua tusiwe wapumbavu kisa mapenzi makubwa tulinayo kwa hizi timu zetu
mi simba ila kwakweki hatuwezi kujenga uwanja kwa michango ya wanachama kwa hapa bongo,ni ama tajiri kujitoa au serikali ,michango ya wanachama hata kwa miaka miwili sidhani kama itafika 2b
 
Huu ndo ukweli watu hawataki kuusikia mkuu ila ndo ipo hvyo

Ule uwanja Wa Bunju Wa mazoezi ulijengwa bila hata kuomba pesa za wanachama .....Bosi aliamka asubuhi na akaamua kuanza ujenzi bila hata kelele

Hata uwanja Wa mechi ndio inatakiwa tajiri afanye uwekezaji kwenye huo ujenzi Wa uwanja coz pesa yake itarudi taratibu kupitia mapato ya uwanja

Estadio de Lupaso ilijengwa kwa Bilioni 50 na pale bado haujakamilika vzr

Tuacheni utani kwenye pesa za kuchanga.......zaidi zaidi pesa tulizochanga zinaenda wataziweka kwenye matumizi ya mwezi mmoja tu Wa kulipa mishahara Wa wachezaji watatu Wa kigeni na itakuwa imeisha
 
Back
Top Bottom