Yan'gaaaaaaaaaUtopolo ndiyo kitu gani
Hii thread yako inatusaidia nini sisi wanasimba?Kama kawaida yao leo wameitisha press na kutoa takwimu za kupika.Hii imekuja baada ya kuona wanazidiwa katika mchakato wa nani zaidi.
Utopolo hawishiwi maneno lakini ni wazi tu hawana mashabiki na wapenzi wengi kama ilivyo Simba.
Kama Simba wangekuja na mpango wa kuuza kadi za uanachama kwa njia rahisi madhani wasingeamini watu watakaonunua jinsi walivyo wengi.
Hii ya nani zaidi kuna watu bado hawajaifahamu maana wengi tulikuwa kazini wakati inatangazwa.Inabidi tangazo liwepo Mara kwa mara social media ili kila mtu limfikie
Utakuwa Simba wewe?Hii thread yako inatusaidia nini sisi wanasimba?
Inawezekana akili yako ni finyu sana, uwezo wa kufikiri ni mdogo sana na upeo huna!
Tutachangia timu yetu kujenga uwanja hata kama ni miaka mia mbili."Uwanja wa mpira wa kawaida usio na mbwembwe, wenye uwezo wa kuingiza watu elfu 30 ni lazima ugharimu kiasi cha Tsh 30+ BILIONI" [emoji368] Haji Sunday Manara.
"Tusidanganyane, Miradi mikubwa kama hii inahitaji WAWEKEZAJI. Unataka kujenga uwanja, weka hela sio maneno"
"Yanga ina viongozi wana akili. Uwezo wao wa kufikiri ni mkubwa sana. Hakuna klabu Afrika mashariki na kati iliyoweza kukusanya BILIONI 1.07 kwa miezi (6) kwa wanachama pekee" [emoji368] Haji Sunday Manara
"Tumeandikisha kidigitali wanachama 34 Elfu na 650, tumekusanya kiasi cha Tsh 1.07 BILIONI' [emoji368] Haji Sunday Manara.
"Hatua inayofuata ni kadi za mashabiki, atakayetambulika atalipa ada ya Tsh 17,000/=,, Ambapo atapata kadi ambayo itamuwezesha kuingia uwanjani na pia punguzo la bidhaa mbalimbali za Yanga SC, pamoja na maduka ya GSM washirika wa Yanga SC" [emoji368] Haji Sunday Manara
"Katika Tsh 17,000/=,, Tsh 12 elfu ni ada ya mwaka mzima na Tsh elfu 5 ni ada ya kadi ya Kielektroniki ambayo itatolewa na Kilinet"
"Ukubwa sio kurukia miradi ya watu na kufanya kama ni jambo kubwa la kushindana,, Ukubwa wa klabu ni kubeba MAKOMBE"
"Kuhusu ujenzi wa uwanja, Yanga SC mipango yetu ni kukaribisha WAWEKEZAJI na si kutumia michango ya mashabiki"
[emoji368] Haji Manara msemaji wa Yanga SC
walevi wanamkula [emoji23][emoji28]Utakuwa Simba wewe?
Nyie ndio watupolo nenda kaliwe na walevi.
Haji muongo sio wakuamini huyu kiumbe,alisema Yanga michuano ya caf wanaanzia hatua ipi na Simba wataanzia hatua ipi?"Uwanja wa mpira wa kawaida usio na mbwembwe, wenye uwezo wa kuingiza watu elfu 30 ni lazima ugharimu kiasi cha Tsh 30+ BILIONI" [emoji368] Haji Sunday Manara.
"Tusidanganyane, Miradi mikubwa kama hii inahitaji WAWEKEZAJI. Unataka kujenga uwanja, weka hela sio maneno"
"Yanga ina viongozi wana akili. Uwezo wao wa kufikiri ni mkubwa sana. Hakuna klabu Afrika mashariki na kati iliyoweza kukusanya BILIONI 1.07 kwa miezi (6) kwa wanachama pekee" [emoji368] Haji Sunday Manara
"Tumeandikisha kidigitali wanachama 34 Elfu na 650, tumekusanya kiasi cha Tsh 1.07 BILIONI' [emoji368] Haji Sunday Manara.
"Hatua inayofuata ni kadi za mashabiki, atakayetambulika atalipa ada ya Tsh 17,000/=,, Ambapo atapata kadi ambayo itamuwezesha kuingia uwanjani na pia punguzo la bidhaa mbalimbali za Yanga SC, pamoja na maduka ya GSM washirika wa Yanga SC" [emoji368] Haji Sunday Manara
"Katika Tsh 17,000/=,, Tsh 12 elfu ni ada ya mwaka mzima na Tsh elfu 5 ni ada ya kadi ya Kielektroniki ambayo itatolewa na Kilinet"
"Ukubwa sio kurukia miradi ya watu na kufanya kama ni jambo kubwa la kushindana,, Ukubwa wa klabu ni kubeba MAKOMBE"
"Kuhusu ujenzi wa uwanja, Yanga SC mipango yetu ni kukaribisha WAWEKEZAJI na si kutumia michango ya mashabiki"
[emoji368] Haji Manara msemaji wa Yanga SC
Kama mliweza kushika maneno yake ya wenye akili pale yanga.....kwann mshindwe kushika maneno mengine anayowaambiaTutachangia timu yetu kujenga uwanja hata kama ni miaka mia mbili.
Hatuwezi kushikiwa akili na huyo zungu. Wenye akili huko ni Manara Sr na Kikwete.
Just misinformation ila naomba nieleze Simba ataanzia hatua ipi? na kwanini?Haji muongo sio wakuamini huyu kiumbe,alisema Yanga michuano ya caf wanaanzia hatua ipi na Simba wataanzia hatua ipi?
Pesa huna, mali huna, elimu huna, akili huna, upeo wa kuelewa mambo huna!Utakuwa Simba wewe?
Nyie ndio watupolo nenda kaliwe na walevi.
Hili la kushindanisha kuchangia, sidhani ni matakwa ya viongozi wa Simba peke yake bali ni makubaliano ya pande zote mbili kuwa vinahitaji pesa kupitia mradi wa nani zaidi. Ilikuwa busara sana kwa Manara badala ya kuwakejeli Simba, badala yake wangetumia nguvu kubwa kuhamasisha mashabiki wa Yanga katika kuchangia pesa. Hizi pesa kila klabu imetenga dhumuni lake, sasa maneno anayotoa Manara itafanya mashabiki wasione umuhimu wa kuchangia."Uwanja wa mpira wa kawaida usio na mbwembwe, wenye uwezo wa kuingiza watu elfu 30 ni lazima ugharimu kiasi cha Tsh 30+ BILIONI" [emoji368] Haji Sunday Manara.
"Tusidanganyane, Miradi mikubwa kama hii inahitaji WAWEKEZAJI. Unataka kujenga uwanja, weka hela sio maneno"
"Yanga ina viongozi wana akili. Uwezo wao wa kufikiri ni mkubwa sana. Hakuna klabu Afrika mashariki na kati iliyoweza kukusanya BILIONI 1.07 kwa miezi (6) kwa wanachama pekee" [emoji368] Haji Sunday Manara
"Tumeandikisha kidigitali wanachama 34 Elfu na 650, tumekusanya kiasi cha Tsh 1.07 BILIONI' [emoji368] Haji Sunday Manara.
"Hatua inayofuata ni kadi za mashabiki, atakayetambulika atalipa ada ya Tsh 17,000/=,, Ambapo atapata kadi ambayo itamuwezesha kuingia uwanjani na pia punguzo la bidhaa mbalimbali za Yanga SC, pamoja na maduka ya GSM washirika wa Yanga SC" [emoji368] Haji Sunday Manara
"Katika Tsh 17,000/=,, Tsh 12 elfu ni ada ya mwaka mzima na Tsh elfu 5 ni ada ya kadi ya Kielektroniki ambayo itatolewa na Kilinet"
"Ukubwa sio kurukia miradi ya watu na kufanya kama ni jambo kubwa la kushindana,, Ukubwa wa klabu ni kubeba MAKOMBE"
"Kuhusu ujenzi wa uwanja, Yanga SC mipango yetu ni kukaribisha WAWEKEZAJI na si kutumia michango ya mashabiki"
[emoji368] Haji Manara msemaji wa Yanga SC
Kauli gani ya kijinga?Hili la kushindanisha kuchangia, sidhani ni matakwa ya viongozi wa Simba peke yake bali ni makubaliano ya pande zote mbili kuwa vinahitaji pesa kupitia mradi wa nani zaidi. Ilikuwa busara sana kwa Manara badala ya kuwakejeli Simba, badala yake wangetumia nguvu kubwa kuhamasisha mashabiki wa Yanga katika kuchangia pesa. Hizi pesa kila klabu imetenga dhumuni lake, sasa maneno anayotoa Manara itafanya mashabiki wasione umuhimu wa kuchangia.
Kama kulikuwa hakuna uhitaji wa pesa, basi wangewaacha Simba na Azam waendeshe project yao kwa staili nyingine sio kushiriki kwenye project ya Azam halafu na kwenye press mmeongea viongozi kuhitaji sapoti ya mashabiki kupitia hiyo project, halafu leo unakuja kuleta kauli za kijinga baada ya kupigwa gap kubwa na watani
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
mi simba ila kwakweki hatuwezi kujenga uwanja kwa michango ya wanachama kwa hapa bongo,ni ama tajiri kujitoa au serikali ,michango ya wanachama hata kwa miaka miwili sidhani kama itafika 2bEti tunajenga uwanja kwa michango ya wanachama.......Hili linawezekanaje?
Ifike hatua tusiwe wapumbavu kisa mapenzi makubwa tulinayo kwa hizi timu zetu
Huu ndo ukweli watu hawataki kuusikia mkuu ila ndo ipo hvyomi simba ila kwakweki hatuwezi kujenga uwanja kwa michango ya wanachama kwa hapa bongo,ni ama tajiri kujitoa au serikali ,michango ya wanachama hata kwa miaka miwili sidhani kama itafika 2b