[emoji3][emoji3][emoji3] na wewe unamquote Manara,lakini naona umeshindwa kuquote pale aliposhindwa kutoa ufafanuzi wa 1.7bn imepatikanaje.Msemajj hajui hata tofauti ya 1.07bn na 1.7bn."Uwanja wa mpira wa kawaida usio na mbwembwe, wenye uwezo wa kuingiza watu elfu 30 ni lazima ugharimu kiasi cha Tsh 30+ BILIONI" [emoji368] Haji Sunday Manara.
"Tusidanganyane, Miradi mikubwa kama hii inahitaji WAWEKEZAJI. Unataka kujenga uwanja, weka hela sio maneno"
"Yanga ina viongozi wana akili. Uwezo wao wa kufikiri ni mkubwa sana. Hakuna klabu Afrika mashariki na kati iliyoweza kukusanya BILIONI 1.07 kwa miezi (6) kwa wanachama pekee" [emoji368] Haji Sunday Manara
"Tumeandikisha kidigitali wanachama 34 Elfu na 650, tumekusanya kiasi cha Tsh 1.07 BILIONI' [emoji368] Haji Sunday Manara.
"Hatua inayofuata ni kadi za mashabiki, atakayetambulika atalipa ada ya Tsh 17,000/=,, Ambapo atapata kadi ambayo itamuwezesha kuingia uwanjani na pia punguzo la bidhaa mbalimbali za Yanga SC, pamoja na maduka ya GSM washirika wa Yanga SC" [emoji368] Haji Sunday Manara
"Katika Tsh 17,000/=,, Tsh 12 elfu ni ada ya mwaka mzima na Tsh elfu 5 ni ada ya kadi ya Kielektroniki ambayo itatolewa na Kilinet"
"Ukubwa sio kurukia miradi ya watu na kufanya kama ni jambo kubwa la kushindana,, Ukubwa wa klabu ni kubeba MAKOMBE"
"Kuhusu ujenzi wa uwanja, Yanga SC mipango yetu ni kukaribisha WAWEKEZAJI na si kutumia michango ya mashabiki"
[emoji368] Haji Manara msemaji wa Yanga SC
Maisha Yanaenda Kasi Sana [emoji1787][emoji1787]Ushindi pekee uliobaki kwa Makolo msimu huu dhidi ya Yanga ni kushinda hii chalenge ya "Nani Zaidi"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hili ni tatizo la numbers..... Hata Mimi ninalo sana[emoji3][emoji3][emoji3] na wewe unamquote Manara,lakini naona umeshindwa kuquote pale aliposhindwa kutoa ufafanuzi wa 1.7bn imepatikanaje.Msemajj hajui hata tofauti ya 1.07bn na 1.7bn.
michango ya wanachama hata haifiki hela aliyowekeza vunja bei kwenye jezi. Mashabiki wa Simba na Yanga hela zao ni kwenye viingilio tuWawekezaji waheshimiwe !
Kupitia kampeni za 'NANI ZAIDI', Simba kuchangia pesa kujenga uwanja, Yanga kujiandikisha kidigigitali,, Picha halisi ni aina gani ya mashabiki waliopo kwenye vilabu vya Simba na Yanga imeonekana.
Katika zoezi la nchi nzima la kuchangisha pesa kujenga uwanja, ndani ya miezi (6) Simba SC walikusanya Tsh 60 Milioni !
Katika wiki moja tangu kampeni ya NANI ZAIDI izinduliwe, pesa zilizokusanywa nchi nzima hazitoshi hata kumnunua George Mpole !! Wakati kama mashabiki Milioni 1 tu kati ya watu Milioni (60) nchini wangetoa bukubuku klabu zingepata Tsh 1 BILIONI.
Halafu ukiwakuta mashabiki hao wanabishana vijiweni utasikia 'Mo Dewji, GSM watuachie timu zetu" wakati hata Tsh Mia mbovu hawachangii.
Safari moja tu ya Nigeria 🇳🇬 kwenda na kurudi kwenye Mchezo wa klabu bingwa Africa dhidi ya Rivers Utd GSM alitoa Tsh 700 Milioni including kukodi ndege Boing 787-8 ✈️
Safari moja ya kwenda mkoani kwenye mechi inagharimu si chini ya Tsh 250+ Milioni,, Piga hesabu ni safari ngapi wamefanya kwa msimu !!!
Mishahara ya Wachezaji takribani (8) inaanzia Tsh 8 Milioni hadi Tsh 13 Milioni kwa kila mchezaji kwa mwezi mmoja, achilia mbali wanaolipwa Tsh Milioni 7, 6, 5 kwa mwezi nk.....
Kwa msimu GSM anatoa Tsh ngapi kwa mishahara tu including na wafanyakazi wengine wa klabu ?!!
Klabu ya Yanga inaishi moja ya kambi bora kabisa East Africa AVIC TOWN, kwa msimu GSM analipa Tsh 1+ BILIONI.
▪️Wamekodi nyumba 15
▪️Kila nyumba kodi (1+) Milioni
▪️Gharama za maji & Umeme.
▪️Gharama za Gym nk.....
Achilia mbali mamilioni ya pesa za usajili kuwaleta kina Djuma Shabani, Mayele, Bangala nk ....
Bajeti ya kuendesha klabu kwa msimu GSM anatoa takribani Tsh 6+ BILIONI.
.
.
Wapo watakaosema mbona anauza jezi ?!.... Ukitembea mtaani robo (3) ya jezi zilizovaliwa ni FEKI, It means pesa hiyo anaikosa.
Kama tunavyojuana Watanzania, mtu anaacha kununua jezi original ya Tsh 25 elfu anaenda kununua jezi feki ya Tsh 15 elfu bila kujua anaikosesha mapato timu yake na muwekezaji wake.
Inshort hawa matajiri waliowekeza kwenye vilabu vyetu 🇹🇿 WANAWEKEZA kwa mapenzi binafsi tu na timu na sio kwamba wanapata sana faida.
Kinachowavutia zaidi ni vitu (2)
1 - Wingi wa mashabiki
....Ambao wengi wao hawazisaidii timu, wao wanajua kulalamika tu timu ikifanya vibaya lakini ukiwaambia nendeni uwanjani hawaendi, jiandikisheni kidijitali hawajiandikishi, changieni uwanja Bunju, hawataki.
2 - Mapenzi binafsi na timu.
Wawekezaji waheshimiwe na walindwe 🙌
Ndiyo niniiii?Yan'gaaaaaaaaa
Anajua watopolo wengi ni maboya hivyo ni rahisi kuwachota akili zaoHaji muongo sio wakuamini huyu kiumbe,alisema Yanga michuano ya caf wanaanzia hatua ipi na Simba wataanzia hatua ipi?
miezi 6 milioni 60[emoji15]Sure, Simba nguvu moja.
Kwa Msemaji wenu hapana,yule hajui kabisa numbers.Alitaka kujichanganya zaidi kwa kutoa breakdown ya hiyo 1.7bn Senzo akajua hapa mtu anakwenda kuumbuka akamuwahi [emoji3]Hili ni tatizo la numbers..... Hata Mimi ninalo sana
Haya yote ni maneno ya msejami kwakuwa wanamuweka yeye mwenyewe mjini.Tunajua mtaji wa Manara ni mdomo wake.Hapo GSM anasikia raha sana anakwenda kulipia tena 6months house rent ya semaji[emoji3]Wawekezaji waheshimiwe !
Kupitia kampeni za 'NANI ZAIDI', Simba kuchangia pesa kujenga uwanja, Yanga kujiandikisha kidigigitali,, Picha halisi ni aina gani ya mashabiki waliopo kwenye vilabu vya Simba na Yanga imeonekana.
Katika zoezi la nchi nzima la kuchangisha pesa kujenga uwanja, ndani ya miezi (6) Simba SC walikusanya Tsh 60 Milioni !
Katika wiki moja tangu kampeni ya NANI ZAIDI izinduliwe, pesa zilizokusanywa nchi nzima hazitoshi hata kumnunua George Mpole !! Wakati kama mashabiki Milioni 1 tu kati ya watu Milioni (60) nchini wangetoa bukubuku klabu zingepata Tsh 1 BILIONI.
Halafu ukiwakuta mashabiki hao wanabishana vijiweni utasikia 'Mo Dewji, GSM watuachie timu zetu" wakati hata Tsh Mia mbovu hawachangii.
Safari moja tu ya Nigeria [emoji1184] kwenda na kurudi kwenye Mchezo wa klabu bingwa Africa dhidi ya Rivers Utd GSM alitoa Tsh 700 Milioni including kukodi ndege Boing 787-8 [emoji3575]
Safari moja ya kwenda mkoani kwenye mechi inagharimu si chini ya Tsh 250+ Milioni,, Piga hesabu ni safari ngapi wamefanya kwa msimu !!!
Mishahara ya Wachezaji takribani (8) inaanzia Tsh 8 Milioni hadi Tsh 13 Milioni kwa kila mchezaji kwa mwezi mmoja, achilia mbali wanaolipwa Tsh Milioni 7, 6, 5 kwa mwezi nk.....
Kwa msimu GSM anatoa Tsh ngapi kwa mishahara tu including na wafanyakazi wengine wa klabu ?!!
Klabu ya Yanga inaishi moja ya kambi bora kabisa East Africa AVIC TOWN, kwa msimu GSM analipa Tsh 1+ BILIONI.
[emoji3502]Wamekodi nyumba 15
[emoji3502]Kila nyumba kodi (1+) Milioni
[emoji3502]Gharama za maji & Umeme.
[emoji3502]Gharama za Gym nk.....
Achilia mbali mamilioni ya pesa za usajili kuwaleta kina Djuma Shabani, Mayele, Bangala nk ....
Bajeti ya kuendesha klabu kwa msimu GSM anatoa takribani Tsh 6+ BILIONI.
.
.
Wapo watakaosema mbona anauza jezi ?!.... Ukitembea mtaani robo (3) ya jezi zilizovaliwa ni FEKI, It means pesa hiyo anaikosa.
Kama tunavyojuana Watanzania, mtu anaacha kununua jezi original ya Tsh 25 elfu anaenda kununua jezi feki ya Tsh 15 elfu bila kujua anaikosesha mapato timu yake na muwekezaji wake.
Inshort hawa matajiri waliowekeza kwenye vilabu vyetu [emoji1241] WANAWEKEZA kwa mapenzi binafsi tu na timu na sio kwamba wanapata sana faida.
Kinachowavutia zaidi ni vitu (2)
1 - Wingi wa mashabiki
....Ambao wengi wao hawazisaidii timu, wao wanajua kulalamika tu timu ikifanya vibaya lakini ukiwaambia nendeni uwanjani hawaendi, jiandikisheni kidijitali hawajiandikishi, changieni uwanja Bunju, hawataki.
2 - Mapenzi binafsi na timu.
Wawekezaji waheshimiwe na walindwe [emoji119]
Aya sawaKwa Msemaji wenu hapana,yule hajui kabisa numbers.Alitaka kujichanganya zaidi kwa kutoa breakdown ya hiyo 1.7bn Senzo akajua hapa mtu anakwenda kuumbuka akamuwahi [emoji3]
Sawa sawaHaya yote ni maneno ya msejami kwakuwa wanamuweka yeye mwenyewe mjini.Tunajua mtaji wa Manara ni mdomo wake.Hapo GSM anasikia raha sana anakwenda kulipia tena 6months house rent ya semaji[emoji3]
Wewe jamaa utakuwa unauza [emoji477] kahawa [emoji23][emoji23][emoji23] safari ya kwenda na kurudi jimbo la delta Nigeria ni m 700!![emoji23][emoji23] Na safari moja ya kwenda mkoani ni m 250!!ili aisee nchi hii ina porojo mno,unaandika kwa confidence kabisa!!kweli wenye akili wakinyamaza,wajinga wenye confidence wanatamba!!!Simba tupewe tu hili kombe letu la Nani zaidi? Tumekaa kwenye msimamo kwa muda mrefu sana.......Huku juuu baridi ni Kali sana
Kolo Bwana.Unapika vipi Taarifa ambazo serikali wanakata Kodi.Hiyo siyo Siri ukitaka nenda kwenye mifumo ya serikali utapata Taarifa kamili.Acha uzushi na kudanganya watu.Kelele za ubingwa mmeacha baada ya kuona mmelala dolo mmeamua kuamishia umbeya kwenye mambo yenye data na ushahidi kamili.Kolo ni kolokolo hovyo sanaKama kawaida yao leo wameitisha press na kutoa takwimu za kupika.Hii imekuja baada ya kuona wanazidiwa katika mchakato wa nani zaidi.
Utopolo hawishiwi maneno lakini ni wazi tu hawana mashabiki na wapenzi wengi kama ilivyo Simba.
Kama Simba wangekuja na mpango wa kuuza kadi za uanachama kwa njia rahisi madhani wasingeamini watu watakaonunua jinsi walivyo wengi.
Hii ya nani zaidi kuna watu bado hawajaifahamu maana wengi tulikuwa kazini wakati inatangazwa.Inabidi tangazo liwepo Mara kwa mara social media ili kila mtu limfikie
Aya sawaWewe jamaa utakuwa unauza [emoji477] kahawa [emoji23][emoji23][emoji23] safari ya kwenda na kurudi jimbo la delta Nigeria ni m 700!![emoji23][emoji23] Na safari moja ya kwenda mkoani ni m 250!!ili aisee nchi hii ina porojo mno,unaandika kwa confidence kabisa!!kweli wenye akili wakinyamaza,wajinga wenye confidence wanatamba!!!