Hii nayo kali,,,,,

Hii nayo kali,,,,,

Joined
Mar 2, 2012
Posts
65
Reaction score
2
Hivi mtu unakuwa na mpenzi na anakwambia live kwamba hawezi kukuoa kwa baadae kwa sababu bado ana safari ndefu ya kutafuta maisha na bado anakwambia anakupenda. Hivi kweli kuna mapenzi ya kweli hapo, naombeni ushauri wana Jf.
 
Inategemea na mkataba mliosignishana wakati mnatongozana, ulimkubalia kwa sababu alikuomba uchumba(kwa sababu uchumba leads to marriage which is the direction of real love)
ama kuwa girlrfiend, kipoozeo, kupitisha siku?
Kama hujaridhika kaedit boyfriend/girlfriend agreement contract ubadili duration na intention ya huo uhusiano kisha umpelekee asign upya kama vile badiliko la katiba.
 
hahaha na wewe mwambie huwezi kuwa mpenzi wake kwa kuwa bado unatafuta maisha
 
pole dada!
Na ww mwambie huwezi kuwa na urafiki na mume wa mtu wa baadae
 
Hivi mtu unakuwa na mpenzi na anakwambia live kwamba hawezi kukuoa kwa baadae kwa sababu bado ana safari ndefu ya kutafuta maisha na bado anakwambia anakupenda. Hivi kweli kuna mapenzi ya kweli hapo, naombeni ushauri wana Jf.
Hamna achana nae anakuyeyusha.ID yako iminibariki
 
Huyo mzuri sana...kaongea ukweli, hapo ni wewe tu kuamua kuchagua. Usije baadaye ukamlaumu kashakuambia ukweli wake.

Nawapenda sana wakaka wa style hii.....Kazi ni kwako midada.
 
shosti hapo kwenye nyekundu hapo....kimbiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Hivi mtu unakuwa na mpenzi na anakwambia live kwamba hawezi kukuoa kwa baadae kwa sababu bado ana safari ndefu ya kutafuta maisha na bado anakwambia anakupenda. Hivi kweli kuna mapenzi ya kweli hapo, naombeni ushauri wana Jf.
 
Hivi mtu unakuwa na mpenzi na anakwambia live kwamba hawezi kukuoa kwa baadae kwa sababu bado ana safari ndefu ya kutafuta maisha na bado anakwambia anakupenda. Hivi kweli kuna mapenzi ya kweli hapo, naombeni ushauri wana Jf.

Kwa hiyo asipoyapata hayo maisha hatakuoa huyo ni mbinafsi sana yaani anaona akikuoa ndo utambana kutafuta maisha.So kwa mantiki hiyo jamaa anataka akutumie kama kipozeo chake baada ya harakati zake za kutafuta maisha kwani we ni choo kila akishiba aje kukunyea.Hapo unatakiwa kuwa mkali ili uelewe msimamo wake coz watu kama hao unawasubilia hadi wapatapo maisha alafu wanakimbia na kukuacha umechakaa kama vipi weka wazi kuwa ndoa itangazwe alafu harakati za maisha zinaendelea coz sion mantiki ya ndoa kuzuia harakati za maisha na kubaki unachezewa bila future.
 
Hivi mtu unakuwa na mpenzi na anakwambia live kwamba hawezi kukuoa kwa baadae kwa sababu bado ana safari ndefu ya kutafuta maisha na bado anakwambia anakupenda. Hivi kweli kuna mapenzi ya kweli hapo, naombeni ushauri wana Jf.

Angeniambia sina sina tabia anayotaka labda mara ya kwanza alioverlook ila hawezi kuvumilia ningemwelewa ila swala la maisha hapo ni uongo labda kama anataka kulelewa.
 
Tehe........tehe......tehe....endelea kusubiri tu uje ule vilivyooza.
 
Mmh.. Jamani wanaume!! Huyu wangu amekuwa mkweli kaniambia nisiwaze suala la ndoa.. Kama nataka kuishi kwake niende muda wowote lakini mambo ya chereko chereko hataki kusikia...!
 
Back
Top Bottom