Lengo la mwanamke kuvaa suruali ni moja tu, Kumvutia mwanaume yeyote yule . Chunguza utaona siku hizi miaka kuanzia 8 hadi 48, ndio wanaopenda kuvaa suruali sana, (in short kutafuta soko-). Wengi walio na umri zaidi ya hapo na wenye wajibu kwa familia zao, hutawaona wkivaa ubazazi huo. na hasa TZ ambayo kila kitu mkumbo wa kuiga bila kutafiti. Someni maandiko ya vitabu vitakatifu kuna sehemu zinazo elezea mavazi aina yeyeto ya kiume yatavaliwa na wanaume tu, alaaniwa yule mwanamke avae mavazi ya kiume kwani maandiko yamemkataza. lakini utandawazi( ama uhuru wa dhambi ya dunia) umewafanya watu wapotee na kutotii agizo hilo. OLE WENU SIKU YA KIAMA, kilamtu na zigo lake.