Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
inabidi m2patie ka intrdxn kuhusu maisha ya town
Wewe, uwe unaangalia hata muvi za kanumba utazoea tu mwayego!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inabidi m2patie ka intrdxn kuhusu maisha ya town
lengo lao ni kuturahisishia mambo, mi wala sipati taabu kufikiria eti ndani yukoje?hi,jf members! kuna kitu kinanitatiza kila cku asilimia kubwa ya wasichana/Wanawake ninaopishana nao wanakuwa wamevaa suruali zimebanaa! kwa watu ambao tunatoka bush hadi aibu kuwatazama, lengo lao huwa nini?
LOL..safiiiiii..Huko kijijini hukuwaacha eeh!!! Sasa utakoma na utajuta aliekwambia uje mjini nani! Na bado!!!utarudi kwenu kipofu!
Mlikuja mjini kutafuta nn wakati mambo ya kimjinimjini hamuyawezi?
LOL..safiiiiii..
Mmhh! Co kwamba wote wanaovaa wanavaa kutega wanaume..ni mavaz tu..na kama unaona mjn wanavaa hvo haikupendezi ni vzr ukisepeshe urud kijnn.. Salam za pole zikufikie popote ulipo
Huko kijijini hukuwaacha eeh!!! Sasa utakoma na utajuta aliekwambia uje mjini nani! Na bado!!!utarudi kwenu kipofu!
Pole zako....